Search results

  1. J

    Breaking news: Super Najimunisa lawaka moto mchana huu!!!!!

    Leta taarifa zilizo kamili bwana.
  2. J

    Viungo bandia vya siri vya vyauzwa kama njugu Dar

    Jiwe si mchi.na jembe likilima mahala si pake hukongoka.
  3. J

    Uongozi katika chuo kikuu cha dodoma (udom) wapata aibu kubwa

    Umeme wakatika wakati wanafunzi wakifanya mtihani.Ilikuwaa yapata saa 1:30pm hivi toka mtihan uanze na kuisha ilikuwa ni saa 2:00pm.Hivy Utawala ukatoa tamko kuwa mitihan ikusanywe hata kam mwanafunz hajamaliza kujibu maswali yote!Hii ni aibu kubwa kwa chuo kikubwa kina hicho kukosa Generetar...
  4. J

    Zitto Kabwe arejea

    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIONGOZI WAKE AMENI:canada:
  5. J

    Kujianika kwa Wanawake Nyerere Square!

    Go and ask them.but nyerere square is meet point place.
  6. J

    Transfoma ya TANESCO yaungua leo

    duh.Kwel Bongo kunatisha
  7. J

    TBC Vipi?

    Kwa bongo hiyo ni michezo ya kawaida sana na pia hata hao watangazaji wa tbc sametime niwazushi tuuu c kiaani kwetu hatuwakubili ki ivyo sana man?
  8. J

    Any thoughts wana jf

    Not every one with lot a cup of tea.
  9. J

    Bingo!

    MBONA HAIJAKAA MZUKA SANA KATIKA PANDE ZA SEHEMU HII :mimba:
  10. J

    Serikali ilitoa masharti magumu kwa mwekezaji wa umeme,source: ITV

    HAWAFAI NI KIDOGO SASA.:A S thumbs_up:
  11. J

    Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

    Hivi anashangaa ninii mtu kama akiokoka?mi nampa sana big up rostam
  12. J

    Mwanza jijini vurugu tena sasa hivi .....

    Tuna isubilia hiyo habari yako
  13. J

    Mh Zitto akiunguruma Bungeni leo!

    Mbona hujaeleweka au umesimuliwa na mtu nin? Hii sio sehemu ya kutuletea story zisizo na kichwa wala miguuuuuuuuuuuu tena ujiheshimu sana
  14. J

    Mzungu apata kichapo kikali

    Mbona kichwa cha habari yako hakiendani na maelezo ulioyatoa
  15. J

    Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    Huyo huwa ni futa thatzwhy mr 2 a. K. A sugu aliwapa kubwa kuliko katika antvirus sio hivyo tuuuuuuuuuuuuuu ila ameanza kujisogeza kwa huyo papa ili kama akichukua uongozi tena ampe shavuuuuuuuuuuuu:a s 103:
  16. J

    kwani kumchezea mtu maana yake nn?

    Kumchezea mtu ni tungo tata hivyo maana yake unaweza kuipata vizuri ukituelezea hilo neno limetumika katika mazingira yapi? But take care utapotea.baya lisilo kuzulu ni sawa na jema lisilo na faida
  17. J

    Open University Selection

    Why not ma blood.itafanyika tu kwani we unanyepesi ulizopata mpaka unahisi haito fanyika hiyo selection ya ou
  18. J

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Huyo JK hana uwezo wa kumuweka mtu madalakani ila ni Nguvu ya umma ndio inao huo uwezo wa kumuweka mtu katika hiyo nafasi ya Urais.After all hata yeye alipita tu kimagumashi:fish:
Back
Top Bottom