Wale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile iitwayo Ukweli ni kwamba aliyeshirikiswa na Maru biti kali ikipigwa kwa big time production na saiid...
Shukrani nying sana ziende kwa Allah na Wazazi wangu ,leo tarehe 05/June 2022 nimetimiza umri wa miaka 25.
Sasa nita focus kwenye uwekezaji wa biashara tu.
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA
Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:
Halima...
Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
Gego linaniota pia pembezon mwa taya kuna vitissue vinaota hapa nilipo mandible tissue zinaniuma sana nitumie dawa gani nitulize haya maumivu,leo nimeshindwa kabs kutafuna vyakula,nikiachama ubaridi ukiingia kinywani napatwa na maumivu makali sana
Tangu asubuh nakunywa maziwa na maji tuu.
Wananchi tunauliza nilini hizo Mil.50 kila kijiji zitatufikia?
Mh. JPM ahadi yako umeisahau? Muda umeisha ni wakati sasa wakujitadhumini; je, umetimiza ahadi hii kwa wananchi?
Kwenye kampeni zako utatueleza nini ili tukuamini tena?
Wapenzi wa Comedian wa Teacher Mpamire na wasiyo mjua huyu mchekeshaji ni kiboko kwa kuchekesha Style anayo itumia kushekesha watu ni style nzuri sana
Kibritish chake kipo poa Sana, Kwanza hana swaga za kiboyaboya Kama wachekeshaji wengine wa kitanzania
Kama kuna member hapa anaweza kushare...
Tanzania Automobile Technology
Nikiwanda kinacho jihusisha na kutengeneza magari hususani ya kijeshi
Ila leo nilikuwepo wilaya moja kongwe hapa mkoani Dodoma
Nikakutana na gari aina ya Land rover rangi ya kijani kiukweli hii gari inafanana Sana na gari zinazo tengenezwa na kiwanda cha nyumbu...
Mimi nakumbuka kipindi hiko kama unakwenda kuchunga mifugo upo nayo mkononi kwenda kulima na kupalilia mazao lazima Kaseti iwe pembeni bila Kaseti kipindi hiko nisawa na kijana wa sasa bila smartphone kaka zetu na baba zetu walifaidi sana ujana
Salam ndugu wana JF,
Hivi kuna ukweli kwenye zile siku tunazo sherekea siku zetu za kuzaliwa?
Mfano mtoto kazaliwa leo siku ya ijumaa tarehe 23 ikifika mwakani tarehe kama ya leo, siku itakuwa siyo Ijumaa hivyo basi kwanini tusiwe tunasherekea juma la kuzaliwa badala ya tarehe ya kuzaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.