Search results

  1. Rhz4567

    Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

    Ilikuwa na Orlando na akapigwa tena
  2. Rhz4567

    Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

    Dume zima unaoaje mwanamke 22+? Kwangu haitawezekana kamwe labda awe mchepuko.
  3. Rhz4567

    Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Sasa itakuwaje? ngoja tumuulize kungwi.
  4. Rhz4567

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    😀😀 kuna jamaa ananiambiaga mimi na mifupa ya ndege
  5. Rhz4567

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    Kuna mahali nili quate wewe Kiranga ni msukuma wa Ushetu.
  6. Rhz4567

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Ukiwa begani natembea nao fresh Hata umbali wa dakika 10
  7. Rhz4567

    TRA inapenda kuwakumbusha wafanyabiashara kufanya makadirio mapema

    TRA Tanzania huwa mnakusanya kodi kwa maendeleo ya wananchi au maendeleo ya wanaccm?
  8. Rhz4567

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    40kg tangu mwaka 2016 hadi sasa hata nile msosi vp siongezeki uzito
  9. Rhz4567

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Shida ni kuinama nyuma ya migongo ya wanawake Kwanza Acha hii kitu.
  10. Rhz4567

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Mimi na kg 40 kamili tangu 2016 hadi leo.
  11. Rhz4567

    Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Duh Itabidi tukupime mkojo ww
  12. Rhz4567

    Naomba kujua utaratibu (mila) ya kabila la Wamanyema

    Wamanyema siyo kabila ni jumuiya muulize vizuri yeye ni Mbembe,mbwari,mbuyu,mbakanza ,mgoma,mbangubangu,mbondo nk
  13. Rhz4567

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Haruna moshi boban.
  14. Rhz4567

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Duh Dany drinkwater alikuwa bonge la mchezaji
  15. Rhz4567

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Chicharito El hadj diof Ronaldinho Makelele Solomon kaluu.
  16. Rhz4567

    Bamutu ya Kongo nyakati zimebadilika

    Unataka wacheze singeli?
  17. Rhz4567

    Nyie mlionishauri nimpe

    Mimba sio ulemavu,raha ya tendo ni mimba kupatikana.
  18. Rhz4567

    Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

    Unataka kulinganisha hizo takataka za falsafa na DVm?
Back
Top Bottom