Search results

  1. Mama mimi

    Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

    Ahahaha! Hiyo ndo inaitwa kuchoka Hadi mkia but unaanzaje kuniacha nshaanza mazoezi tayari. Cc. Mr. Django Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mama mimi

    Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

    Utani na mzigua upo pale pale, unamwitaje msukuma mshamba, msukuma huhitaji kuelewa na kujua Mambo zaidi na siyo mshamba
  3. Mama mimi

    Huyu ni mimi kabisa

    Yaani Mimi kabisa, nkajua nkatabia kangu mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Tena nimelala nipo usingizini kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mama mimi

    Haya ndo magereza hatari zaidi Tanzania

    Anold na cent hamsini[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Mama mimi

    Dada tumia ndimu/limao kuzuia mimba

    Mtoa Maada anaitwa sexless, zakuambiwa changanya na zako, endeleeni Kutia viungo, mkishaweka juice ya Ndimu mnaweka na kachumbali Kabisa Ili hiyo mimba ikome Kabisa, utafikiri Kuna dhambi kupata mimba ilihali ushaambiwa kitanda hakizai haramu
  6. Mama mimi

    Historia ya Bongo Fleva na walioikuza tangu 1993

    Mie nakumbuka tu Mwanangu huna nidhamu ilivyofanya had wazee waanze kusikiliza bongo fleva, Hongera Sana Dudubaya, kuanzia 2000+ Watu walijituma Sana na bongo fleva lakin malejendari hao saiv hawajulikani wako Wapi Au walishaamua kufanya vitu vingine na wengine kujiingiza ktk Madawa ya kulevya...
  7. Mama mimi

    Maandiko ya kutuma fedha yana uhusiano na wafanyakazi wa VodaCom?

    Halafu hili linafanyika mtu anapotaka kutuma hela inaonekana Kama side B Kuna Shida, rafiki yangu kapingwa Laki 2+ kwa Hizi Hizi text za Vodacom, inabidi waje wajibu hapa, itakuwa ni mawasiliano yanahakiwa Au wafanyakazi wao wenyewe Ndiyo wanaiba
  8. Mama mimi

    Maisha ya Norway yapoje?

    Mkuu Kama unaielewa Sana Norway umeoa nini huko, Mara Moja Moja ukumbuke wadogo zako kina kibena na mkude huko Kiziwa. (Mtani)
  9. Mama mimi

    Hotel nzuri

    Cc Mr Django Utapita ufanye research zako hapa
  10. Mama mimi

    Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

    Mrs Mshana Jr Katika ubora wako, naona matunguli yanahamia kwako taratibu, kwa zoezi hili ulopewa unakaribia kukolifai
  11. Mama mimi

    Hamna raha kama kusikia pumzi ya mpenzi wako wakati kakukumbatia

    I always do [emoji16][emoji16][emoji6]
  12. Mama mimi

    Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Wewe, ntakufundisha usijali [emoji6]
  13. Mama mimi

    Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Zinaflatisha matumbo?, Au unatakiwa Kumaintain na Chakula pia?
  14. Mama mimi

    Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

    Na wanawake wanafanya Haya Haya eti Castr
  15. Mama mimi

    Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

    Kuanzia post yako pale huu #6 umetema madini tu, na unaendelea kuyatema, tell them mahusiano ni kuchukuliana na kusameheana baaaaaaasi, viungo vingine ongeza mwenyewe na chumvi koreza unavyoweza Kule kwa fundi selemala, wanawake waaminifu wapo kibao.
  16. Mama mimi

    Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti?

    Hapo ndipo mnapokosea, mkifanikiwa kuondoa hiyo Dhana nadhani utawapenda mno wanawake, Kuna wanawake wavumilivu wengi mno.
  17. Mama mimi

    Wanawake huwa wanachukia Sana haka ka mtindo

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  18. Mama mimi

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Watch your tongue, usimtukane mamba hujavuka mto
  19. Mama mimi

    Ushauri: Jirani yangu anamtongoza mke wangu

    Badala udeal na mkeo, unatafuta ushahidi, sijui ushahidi gani wakati CCTV cameras zako unasema zishathibitisha
Back
Top Bottom