Search results

  1. M

    Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

    Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi. Ambapo kipindi cha...
  2. M

    Ukweli kuhusu jiwe la ajabu Bosnia na ukweli kuhusu kutengenezwa na binadamu au kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi (asili)

    Mwanaakiolojia Sam Osmanagich maarufu kwa jina la “Bosnia indiana jones" alitamka kuwa jiwe la Bosnia ni jiwe la ajabu katika Bara la Ulaya , ambapo alieleza amefanya utafiti wa jiwe kwa miaka 15 , mwaka 2016 jiwe la Bosnia liligunduliwa katika. Jiwe hilo lina upana wa mita 3 ambapo...
  3. M

    Dr. Mengi aliwahi kusema, 'ili uendeshe biashara hapa Tanzania lazima uwe kichwa ngumu'

    Tanzania imepitia katika hatua kuu tatu kwenye mikakati ya kufanikisha maendeleo. Hatua ya kwanza ilianza mara baada ya kupatikana uhuru, hadi mwaka 1967 lilipotangazwa azimio la Arusha. Katika kipindi hiki, Tanzania ililenga zaidi katika kujenga umoja, mshikamano na heshima kitaifa. Nchi...
  4. M

    Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  5. M

    Kuchaguliwa kwa Rais mteule WIliam Ruto kuna Umuhimu au mchango gani kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Tume ya uchaguzi nchini Kenya 16-08-2022 ilitangaza matokeo ya Urais ambapo Wiliam Ruto aliteuliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa taifa la Kenya , kutokana na kuteuliwa kwake kuwa Rais, nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki tunamategemeo mengi juu Kenya ni nchi muhimu panapohusika...
  6. M

    Taliban wanadai hawakujua kiongozi wa Al-Qaeda aliyeuawa alikuwa akiishi katika Mji wa Kabul

    Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo. Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
  7. M

    kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
  8. M

    Afrika Kusini: Polisi yawatia mbaroni watu 40 zaidi baada ya ubakaji wa wanawake wanane

    Mamlaka katika jimbo la Gauteng zimeongeza operesheni zao dhidi ya wachimba migodi haramu katika siku za hivi karibuni kufuatia ripoti za ubakaji wa wanawake wanane na genge la watu na kuwaibia wafanyakazi wa kutengeneza video wakiwa na silaha. Kamishna wa Polisi wa Gauteng Luteni Jenerali...
  9. M

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  10. M

    kwanini Manchester united imekazania ronaldo asiondoke kwani hamna timu zinazomtaka ikumbukwe anapokea mshara wa pauni laki tano kwa wiki.

    mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
  11. M

    Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  12. M

    Kama hujawahi penda basi hujawahi kuumia

    Watu wengi ambao hatujawahi kupenda au kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi hatujawahi kuumia tunaishi kwa furaha na amani ya moyo, hivi ni kweli kama hujawah penda huwezi kuumia kwenye mapenzi ?
  13. M

    Elimu ya tanzania ni kweli inamuaanda mwanafunzi kupambana na soko la ajira

    Soko la ajira limekuwa gumu sana watanzania wengi hushindwa kustahimili soko la ajira na kupelekea ongeza la watanzania wengi wanaomaliza vyuo kwenye ngazi mbalimbali za elimu kukosa ajira na wenye sifa mbalimbali muhimu kwenye jamii na maendeleo ya nchi . Je changamoto ipo wapi ambayo inafanya...
  14. M

    Jezi za yanga za msimu unaokuja 2022/2023

    Kwakweli yanga wamejaribu kuteka attention za mashabiki mbalimbali kwa kusubiri jezi ambazo walisema zitakuwa bora kuliko timu yoyote ile, je Simba wataweza kuwafunika Yanga katika kuzindua jezi zao mpya siku za usonii. Vipi wadau wa nguvu moja Msimbazi
  15. M

    Wizi unaofanywa usiku Dar kwa kukata nyavu za madirisha

    Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
Back
Top Bottom