Search results

  1. J

    Laptop HP Corei5 inauzwa

    Nauza laptop HP ProBook 650 G3, Ina RAM 8Gb, hardDisk 128 SSD, Screen size 15.6 haina Scratch. Inakaa na charge masaa 4. Ina windows 10 Pro. Bei na laki 4(400,000)maongezi yapo. Ninapatikana Mwenge - DSM. Nicheki 0655113290. Nimeambatanisha na picha.
  2. J

    House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
Back
Top Bottom