Search results

  1. I

    Maombi kwa mwaka mpya wa 2021 na shukurani kwa Mungu kwa kutuvusha

    Maombi ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka mpya 2021. E Mungu Muumba mbingu, nchi na maji. Nakushukuru kwa kuwavusha watanzania wezangu salama katika mwaka wa 2020 na kuwakabidhi mwaka mpya wa 2021. Mungu mwaka ulio upita utufundisha mengi sana ila moja kubwa tulilo kubushwa ni...
  2. I

    Tanzania tulikosea wapi na Kenya walipatia wapi?

    Tanzania na Kenya zilipata uhuru mapema miaka ya 1960s. Leo zinakaribia miaka 60 tangu zipate uhuru. Nchi hizi mbili ni kama makaka wawili waliozaliwa tumbo moja ila kila mmoja kachukuwa njia tafauti katika kutafuta maisha. Na kwa mtazamo wa haraka Tanzania imefeli vibaya sana katika miaka...
  3. I

    Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  4. I

    Ukiona Taifa linaendeshwa kwa propaganda tujuwe habari inakaribia

    Kuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii. Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi...
  5. I

    Mabilionea sio kitu vizuri kwa taifa

    Mabilionea sio kitu kizuri kwa taifa.
  6. I

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeharibiwa na Rais Magufuli mwenyewe

    watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nikisikia watanzania wengi wakiwemo wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kwa kuharibu uchaguzi. Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua dhidi ya walio husika na uhalibifu wa...
  7. I

    Mabilionea ni wezi na wazurumaji

    Hauwezi kuwa billionaire kama unapenda haki. au ni mcha Mungu. Kwanza huwezi kuwa billionaire kama kwa kufanya kazi sana au kwa kwa kuwa na akili nyingi. Kinacho wafanya watu wachache kuwa mabilionea ni uwezo wao wa kujuwa namna ya kuibia watu wengi bila watu wanao ibiwa kujuwa kama...
  8. I

    Barua ya wazi kwa ndugu zangu wana CCM na washabiki wake

    ndugu zangu wana ccm na na wapenzi wote wa ccm. Nawasalimu kwa heshima na tahadhima zote. Kwanza ni washukuru kwa kuendelea kuunga mkono viongozi wenu wa chama na serikali. pili napenda kujitambulisha kama mtazania asiye kuwa mwanachama wa chama chochote. Hivyo nitakacho andika kama hukubaliani...
  9. I

    Tanzania tumekwama wapi maendeleo na kutawala Bora ?

    Wakati tunapata uhuru mwaka 1961 uchumi wa Tanzania ulikuwa sawa na uchumi Norway, South Korean, Singapore, Thailand na nchi nyingine nyingi katika mabara yote. Leo miaka 58 badaye nchi hizo zote zimeipita Tanzania kwa mbali sana. Yani zimetoko kwenye nchi za ulimwengu watatu na kuingia kwenye...
Back
Top Bottom