Ebu angalia hata mabasi ya wanayoita mwendokasi wameshindwa kuuendesha huu mladi, Tiketi wanazo toa si electronic tena ebu angalieni kiukweli leo nimechoka.
wakati nasoma nilikua naamuka asubuhi sana kwenda shule kitu ambacho wakati mwingine kilikua kikininiuma sana mana kuna wakati kunakua na baridi ila unalazimika kuamuka, nilikua najitahidi sana huku nikiamini siku nikimaliza shule adha hii itaisha kwani nitakua nimepata ninachokitafuta.
Lakini...
Hivi tarehe 26/4 kuna maadhimisho ya muungano kweli? mana miaka ya nyuma tulikua tunaona mishemishe zikianza mapema.
Tafadhali mwenye kujua sababu inayofanya watu wawe kimyaa hivi kwa jambo mhimu kama hili anijuze sababu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.