Search results

  1. great kali

    TALA&BRANCH kwanini system zenu rahisi kuibiwa na kusababisha mpate hasara kubwa

    Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo..... Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika...
  2. great kali

    Karibu kwetu tukuhudumie mkopo usio na riba wala dhamana

    KAMPUNI YA KUTOA MIKOPO "AKOK LOANS" Ni taasisi ya kifedha inayohusika na utoaji mikopo nafuu iliyokuwa na riba nafuu kupitia mfuko maalum uitwao AKOK Credit & Loans kwa dhumuni la kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakubwa nchini Tanzania kwa kuwapatia mikopo ya pesa NA Pembejeo za...
  3. great kali

    Special thread:Magonjwa hatari ya nyanya na dawa zake

    Pamoja na umuhimu wa zao la nyanya, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Sasa ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato lake ni vema kuzingatia udhibiti wa magonjwa na wadudu wa zao hili la nyanya. Utangulizi Nyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo...
Back
Top Bottom