Search results

  1. HDMI

    Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

    Umeanzaje kufanya mawasiliano na client nje ya mfumo. Acha usanii aisee
  2. HDMI

    Kuna mchezo unachezwa Tanesco wa kuyeyusha units ziishe haraka?

    Wapi jamaa kasema kuwa anatumia smart meter? Unaijua smart meter wewe?
  3. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo wewe ndio umeona pros and cons za ku allow developer mode kuliko wataalamu wooooote wa NMB. Aisee [emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba Bank waliweka hiyo feature bila kujua kwamba haina faida
  4. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo ungefanya kazi au ungesema "tufanye kama CRDB" [emoji23][emoji23]
  5. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hapo kwenye password 123456 mbona hujibu? Anayezuia developer mode na unaye allow password 123456 nani achekiwe?
  6. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Jaza hela kwenye account. Itakuwa nyepesi tu [emoji23][emoji23] Tatizo unaangalia sana balance
  7. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwa hiyo wewe ungekuwa developer wa NMB ukaambiwa policy ya Bank yetu ni kuto allow developer mode ungeacha kazi?
  8. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Halafu jamaa hakutakiwa ku attack developers wa NMB. Developers wanatengeneza solutions kutokana na policy za kampuni sio kujiamulia. Hata yeye angekuwepo kwenye hiyo team angefanya kama policy inavosema. Asingeleta ujuaji kwamba mbona CRDB inafanya kazi with developer mode [emoji23][emoji23]
  9. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Kwako hizo app za ku clone ndio zinampa nguvu akosoe developers wa NMB kisa tu wao wanaona developer mode isitumike kwenye app yao? Mbona yeye app yake hiyo nime signup na password 123456 na imeingia. Huyo ndio wa kuzungumzia NMB kweli? Awe serious
  10. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Leongo ilikuwa kumrekebisha na kujua kama ashawahi tengeneza financial app za kampuni kama Bank tujue. Hivyo vi app vyake hata user akiruhusu rooting hakuna issue
  11. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hizo apps zake zinaingiza Tsh ngapi? Au zimebeba risk kiasi gani kwa watumiaji? Unafananisha draft na financial app mzee? Na wewe wale wale tu. Akasome guidelines za OWASP ndio aanze ubishi
  12. HDMI

    Android Developers wa bank ya NMB, huu uoga mmeanza lini?

    Hebu tupe na wewe app yako playstore tukusahihishe. Maana kuongea bila kujua kwa nini wao (hata kama wengine hawafanyi) wamezuia. Tuma link tuone app zako kaka. Asante
  13. HDMI

    Natengeneza Websites, Information management systems, Android applications.

    Weka portfolio yako au website yako tukaone
  14. HDMI

    API ni nini katika ulimwengu wa software?

    Kwa lugha nyepesi ni njia ya mifumo miwili au zaidi kuwasiliana. Kwa Mfano unapofungua application ya Mpesa kwenye simu na kutuma pesa, application inatuma na kupokea data kwenda mifump ya Mpesa kutumia API. Ni kama njia ya kupitisha data
  15. HDMI

    Laptop mpya lakini inakula sana MB. Nifanyeje?

    Fuata huu ushauri lakini jipange utafute bando la kutosha ufanye hizo updates Za laptop. Ni muhimu for security and performance
  16. HDMI

    Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

    Kaka hata 3G wakati tunahamia 4G ilikuwa vizuri. Ila saa hizi iko slow balaa. Hata 4G inaweza guswa tukihamia 5G
  17. HDMI

    Sumsung A 53 nishilingi ngapi madukani

    A53 achana nayo. Haina uwezo wa 5G. Tafuta simu nyingine. Dunia inaenda 5G kwa kasi utaachwa nyuma
  18. HDMI

    Nahitaji website kwa 100k

    Fanya hivi kabla hujatoa hii kazi 1. Nunua domain uwe nayo kabisa 2. Lipia hosting uwe nayo kabisa 3. Tengeneza logo uwe nayo kabisa Halafu ndio sema nina vyote hapo juu nataka website kwa laki. Hapo utakuwa kidogo umeeleweka
  19. HDMI

    Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Foleni la leo daraja la Kigamboni daaaah. Hii nchi takataka. Tangu saa 12 mpaka saa 4 usiku hii sijatoka Kigamboni
Back
Top Bottom