Search results

  1. Y

    Wanaojua mawasiliano ya TAMISEMI au Wizara ya Elimu nina shida muhimu sana

    Wakuu habari, kama nilivozungumzia kwenye kichwa cha habari. Nina shida na mawasiliano ya TAMISEMI kwa anayeelewa niingieje kwenye website yao au email yao, vilevile sina email yao wala website yao, naombeni anayefahamu mawasiliano yao anisaidie. Bila kujali ngoja niwaeleze tatizo linalonituma...
  2. Y

    Tunamlaumu kiongozi mkubwa kumbe madudu yapo huku chini

    Wakuu natumai mu wazima wa afya. Kama mada inavyokuja ni huku kumlaumu baba yetu, kumbe huku chini kuna watoto hawawajibiki vizuri maagizo ya baba yao. Ni hivi huku Wilayani Mbarali mjini Rujewa watu waliandikwa majina mwezi wa tano ili serikali ije itoe msaada wa vyandarua au net lakini cha...
  3. Y

    Je ,huyu mmiliki wa ishara ya vidole viwili juu Duniani ni nani?

    Huyu anaemiliki ubunifu wa ishara ya vidole viwili juu Duniani ni nani wakuu? Huyu mtu atakua anajisifu sana kua misheni yake ishakamilika duniani, na ameshaikamata Dunia, kwani kila ukiangalia matukio ya Dunia yaliyo mengi kwenye vikundi fulani vyenye mlengo wao lazima ukute wanaonyesha ishara...
  4. Y

    Kipi zaidi kati ya udongo na maji?

    Wakuu tupo pamoja. Moja kwa moja kwenye mada. Naomba tubadilishane mawazo hapa Kuhusu hivi vitu. Katika matumizi ya mwanadamu au viumbe hai tunaona kua udongo umemiliki kila kitu duniani, nikimaanisha kua kila kitu kinachomilikiwa na mwanadamu au kiumbe hai kimetokana na udongo au kimetoka...
  5. Y

    Dunia ikizidiwa uzito haitadidimia?

    Wakuu habari. Mada kama ilivyosema hapo juu, ni kwamba jinsi miaka inavozidi kwenda dunia inazidi kuongezewa uzito je haitakuja kudidimia? Tupeane mawazo hapa, kwani baadhi ya vitu vinavyoongeza uzito ni viumbe hai pamoja na mimea, lakini vitu kama majengo, magari, meli, ndege, matreni na...
  6. Y

    Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN?

    Wakuu salaam, wataalamu wa mambo tunaomba mtudadavulie hili. Kwanini majina ya nchi nyingi pale Uarabuni yanaishia na STAN? Mfano; PAKISTAN AFGHASTAN UZBEKSTAN TARJKSTAN KARJKSTAN KRIJIKSTAN KAZACKSTAN Na nyingine mpaka nimesahau, pia kuna majimbo mengine kama KURDSTAN na mengineyo. Kwanini...
  7. Y

    Wakuu hebu tueleweshane hapa, ni kipi huchezwa kwenye mziki?

    Wakuu habari, naomba niruke jumla jumla. Naomba kufafanuliwa wakati ukipigwa mziki kuna vyombo hutumika kuupiga huo mziki, mfano kuna ngoma au drum, kuna gitaa, kuna kinanda, kuna tarumbeta, kuna filimbi, kuna vitu vingine vingi vinavyohusika kwenye huo mziki. Naombeni ufafanuzi wenu ni chombo...
  8. Y

    Ushauri kwa Wizara ya Afya

    Wana Jf habari, ngoja niende kwenye mada moja kwa moja Kama kichwa husika hapo juu, nimeamua leo nitoe ushauri kwa Wizara yetu ya Afya kuhusu wataalamu wa maabara, naomba niseme hivi ili kuondoa mkanganyiko wa wagonjwa tunaomba Wizara yetu ya Afya ibadili utaratibu wa maabara na wataalamu...
  9. Y

    Kwanini Dini zote zimetokea au kuanzia Asia?

    Wakuu salama? Nadhani muwazima, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekua nikijiuliza maswali mengi kuhusu dini zetu hapa duniani na sijawahi pata majibu, sasa nimeamua kuleta suala hili hapa ili tuweze kupeana mawili matatu yatakayonifanya niweze kupata ufahamu zaidi. Hua najiuliza...
  10. Y

    Hawa wake zetu ni shida

    Habari za weekend wana Jf, natumai muwazima, niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna jirani yangu hapa karibu ana mke na watoto watatu, mke wake hua anapenda kutukana watoto wake wakikosea, utakuta anawaambia mbwa nyie, mafisi nyie na mengineyo mengi. Sasa...
  11. Y

    Kati ya hawa wawili ni nani husababisha mmojawapo kufa mapema?

    Habari kwa ujumla, niruke moja kwa moja kwenye mada. Naombeni kuuliza katika maisha ya ndoa ni nani kati ya mume na mke ambae kwa ujumla husababisha mwenza wake atangulie mapema mbele ya haki? Karibu wachangiaji ili tujue kua ni akina nani wasababishi na tukishajua tuwashauri wahanga waweze...
  12. Y

    Kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili kwenye mamlaka?

    Wakuu poleni na pilika za mchana, niende moja kwa moja kwenye mada. Naombeni msaada wenu kwa wataalamu na wazoefu wa taratibu zetu na sheria zetu hapa nchini, ni hivi kama mtu ana ubunifu au uvumbuzi wake inachukua muda gani kuusajili ule uvumbuzi wake kutoka kwa mamlaka husika? Nawasilisha.
  13. Y

    Natafuta kibarua chochote wakuu

    Habari wakuu kwema? Kama kichwa cha habari hapo juu naomba kibarua chochote kile iwe shamba au mifugo, au kwa wale wanaochoma chipsi tunasaidiana kazi, au kazi nyingine yoyote ile ili mradi iwe kazi halali, napatikana hapa dar ila kazi isiwe nje ya dar asanteni, mwenye kuhitaji msaidizi ani pm...
  14. Y

    Wadau nisaidieni angalau pa kujishikiza kwenye jiji hili.

    Nawasalimu wote wazima? Natumaini mtakua wazima wa afya njema, niende moja kwa moja kwenye mada. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nimekuja kwenye jiji lenu kwaajili ya kazi fulani ila sasa hio kazi itaanza kufanyika mwezi ujao kwa hio hapa nipo tu sina kazi yoyote nawaomba mnipe...
  15. Y

    Naomba kujua bei ya machungwa Dodoma.

    Kama kichwa kinavojieleza hapo juu naomba kujua soko la matunda aina ya machungwa kuhusu soko lenyewe mahali lilipo na bei zake kwa mfuko au jumla ni bei gani na rejareja au mojamoja ni bei gani. Natumaini humu wapo madalali wa masoko ya Dodoma na wazoefu pia wamo naomba taarifa zenu wakuu...
  16. Y

    Mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele

    Poleni na pilika za weekend, Moja kwa moja naenda kwenye mada. Naombeni kujadiliana kuhusu jambo hili, eti mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele, kwa wakristo unavotoa hata mkono wako wa kushoto usione mbona mnatupatia bahasha tuweke sadaka humo huku nje tukiwa tumeandika majina yetu...
  17. Y

    Msaada: Ni baada ya muda gani ndipo mwanamke aliyezaa kwa oparesheni anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa?

    Wakuu salaam, Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la ndoa baada ya muda gani kutoka alipofanyiwa upasuaji Nakaribisha michango yenu, karibu.
  18. Y

    Kwa yeyote aliepotelewa na mtoto.

    Wasalaamu, kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna mtoto ameokotwa anaitwa Magreth anasema kwao Tabata, kama kuna mtu anaemfahamu mtoto huyu au wazazi wake wasilianeni kwa namba hii; 0784226375 au 0718642322.
  19. Y

    Nini maana ya neno "Zawadi" kwa Kibena?

    Wataalamu na wazoefu wa Lugha ya Kibena au Wabena naombeni tafsiri ya neno "Zawadi" kwa lugha ya Kibena Asante nawasilisha.
  20. Y

    Walioishi South Africa: Nini maana ya jina 'Sipho'?

    Wakuu habari, natumai mu wazima usiku huu mkiwa mmejipumzisha baada ya pilika za mchana, Moja kwa moja niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu naomba kwa wale walioishi South na wale ambao bado wapo kule south najua wamo humu, naomba ueleweshwa maana ya jina linaloitwa "SIPHO" maana...
Back
Top Bottom