Search results

  1. NGOSWE.120

    OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Aiseee hiyo mambo ya chakula nadhani huku kwetu nanjilinji hali itakuwa mbaya sana kwa sababu huku sisi twategemea sana mahindi/sembe la kutoka songea. Petrol ipo juu na bodaboda bila buku jero hawakubali kwa sababu ya mafuta kuwa juu. Chips sisi huku kwetu ni anasa kwa sasa
  2. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    Asante sana .....japokuwa umenisimanga kweli....lakini nimejifunza....sitorudia tena makosa mtani wangu...!
  3. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    Halafu wewe binti Sanga acha mambo yako ujueee..............Mapembelooooo siokwaaaa......vaveneeeeeee
  4. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    Hahahaha tunafanya nini jamani....hivi hapo unafurahia mwenzako kufanya hayo aliyofanya?? unaona rahaaa heee kumuumiza mwanaume ?
  5. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    Kwa hiyo sisi sasa tusio na makosa na tunao umizwa hivi huoni kuwa sisi ni husband material??
  6. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    What Your saying is right.....yaani sikujielewa hata kidogo....maana ilifika hatua hata ndugu zangu walidhani nimewekewa libwata na huyu mwanamke lakini uhalisia ilikuwa ni mapenzi tu ya dhati ili mwisho wa siku yeye akiwa na ajira na mimi pia basi tutajenga familia bora na imara...sikuyajua...
  7. NGOSWE.120

    Wanawake mkipendwa pendekeni

    Wana JF naomba niwape hiki kisa cha kweli...ili na wengine wajifunze...! Kisa hiki: Niliopoa binti mmoja akiwa tu kamliza form six nikavuta ndani kabla hata matokeo kutoka.....matokeo kutoka ana Zero...'S' flat. Dah nilumia kinyamaaa....nikapiga moyo konde nikampigisha shule ya 5&6 ndani ya...
  8. NGOSWE.120

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    It is so sad! I am crying ! R.I.P Dena Amsi , Upumzike kwa amani....tupo nyuma yako, hatujui siku wala saa....! So painful kwa kweli dah!
  9. NGOSWE.120

    Mbeya kuna Daktari anaitwa Danny, serikali imeshindwa kumuwajibisha?

    Ni kweli, Mimi huyu jamaa namfahamu na nimeshawahi kukutana nae PERAMIHO HOSPITAL (St. Joseph), ni mchaga kwa kabila na ni mtu wa kujisikia sana na kujiona anajua kila kitu. Pamoja na ugonjwa niliokuwa nao kama mgonjwa lakini sikuona kuwa ana ufahamu wa tatizo langu, mwisho wa siku nikaachana...
  10. NGOSWE.120

    Zitto na Sitta wana 'undugu'?

    Mkuu hapana, hiyo kauli ilibuniwa na Profesa Mukandala ambaye by then alikuwa pale kitengo cha propaganda 'REDET' pale UDSM...ile kauli ilimfanya kikwete ang'aee sana kwenye uchaguzi ule...mwisho wa siku ndio akapewa ule wadhifa wa 'vice Chancellor pale UDSM kuchukua mikoba ya Mathew Luhanga...
  11. NGOSWE.120

    'Great thinkers'...ni kweli 'Mtukufu au swaga tu?'

    Well said, but lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Kabla yake kulikuwa na watu.....and they were very intelligent than him....lakini kama ujuavyo 'masikini akipata.....' watu wa namna hii ni hatarii sana kwa ustawi hata wa familia yake...!
  12. NGOSWE.120

    'Great thinkers'...ni kweli 'Mtukufu au swaga tu?'

    Wapendwa wana JF, Humu ndani naamini kuna wachungaji, mashekhe, na kada zote zenye hekima na busara....JF ni kisima cha 'Great thinkers'! Huo ndio ukweli....JF ndio 'THINK TANK' ya wanaongoza nchi hii ya asali na maziwa. Leo nina jambo nataka tujadili as 'Great thinkers'! Nadhani mnajua hasa...
  13. NGOSWE.120

    Je, Rais Magufuli anatafuta kiki kupitia mikopo ya wanafunzi?

    Juma Pumba Maharagwee.....ya Mbeya....In Tundu Lissu's voice! Jamaa mpenda kiki sana....mtaona vimbwanga vyake....wakati wa kuongea hadi anapinda shingooo kujifanya ana huruma....nyambafuuuu...TUMESHA KUSTUKIA KUWA UNATAFUTA KIKI KUPITIA MIKOPO YA WANACHUO....Ona aibuu..dunia...
  14. NGOSWE.120

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkinga

    VERY GOOD! Tunasubiria Arusha....Gambo na Mkurugenzi wa jiji la Arusha, stay tuned.
  15. NGOSWE.120

    Wanaume Mungu anawaona, heshimu kidogo tu mkeo

    No don't quote me 'wrong my sister' nilichomaanisha ni kuwa ifike hatua mwanamke atambue wajibu wake kama 'mke'....lakini ukisema wewe unamfanyia mume kila kitu....e.g., unampikia chakula kizuri, unaweka chumba very smart as a woman, usafi 100% n.k lakini ukawa mbovu kitandani/sex hapo bado...
  16. NGOSWE.120

    Wanaume Mungu anawaona, heshimu kidogo tu mkeo

    Ulichokisema ni sahihi na pia inawezekana isiwe sahihi kuwa mume ni mpenda chini sana. Nikupe mfano: kuna wanaume including myself huwa kama imetokea nimelala na mwanamke ni lazima nipige show zisizopungua 4 kwa usiku mmoja. Nalala saa 3 napiga show kali moja, then kabla usingizi haujanichukua...
  17. NGOSWE.120

    Tetemeko: Matendo hukidhi haja, Misaada haijagawiwa

    Wapendwa wana JF, Tukiacha ushabiki wa vyama pembeni....na tukarudi katika reality...ni wazi kuwa Tanzania hatuna Rais hadi muda huu. Dunia inatucheka....na Mtukufu ulipo hapo magogoni pia naomba uone aibu ya Karne. Hivi ni nchi gani duniani wananchi wake wamepatwa na dhoruba kama tetemeko au...
  18. NGOSWE.120

    Apewa dawa za kurudisha uke feki na kuanza hedhi isiyo na kikomo

    Ulichokisema ni sahihi kabisa. Hizo ni mila potofu. Imagine unakutana na mwanaume yupo 35 yrs, halafu wewe ke upo let say 30 years, halafu ulivunja ungo ukiwa 14 or 15 years old....pia wewe ulisoma form 1-4, 5-6, chuo kikuu 3 years/or 4. Na upo kazini sasa hivi umeajiriwa. Leo unakutana na mtu...
  19. NGOSWE.120

    Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    wewe kaa pembeni acha kuharibu huu uzi...inaonekana akili yako ndogo sana...naamanisha wewe ni hujielewi na hujaelewa Lisu amezungumzia nini. Lakini watanzania waliosoma na kuelimika wanaelewa nini Lisu anazungumza. Nyie ndio tunawaita lumumba fc kila siku kudandia hoja pasipo hata kuelewa...
Back
Top Bottom