Search results

  1. Offshore Seamen

    Leo Nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Tanga kuna singasinga alisema "Hogo tamu shinda mkate"
  2. Offshore Seamen

    Kutoka kunibania utamu mpaka kunigeuza ndama

    Usisahau kununua na mkate wa Boflo,Borilo au super loaf
  3. Offshore Seamen

    Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

    Wale wa mkwaja,kipumbwi,sakura,mikocheni,mwera,ushongo,bweni,bomani,mnyongeni,sokoni,boza,kigombe mpaka Kilale wamekula burudani bure. Usiku wakipigiwa na taarabu kijamvi basi ubovu na mashimo ya stand wanasahau
  4. Offshore Seamen

    Mtanganyika wenzangu usiwe mwoga! Hizi zote ni fursa zinazokusubiria

    Mimi nitakuwa Broker wa kutafuta usafiri kutoka shambani kuja Mjini, na kutafuta Container za Refeer kwenda Ulaya
  5. Offshore Seamen

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Treni yenyewe mzozo. EV zitumike kwenye majiji na miji mikubwa kama Dar,Arusha, Dodoma,Tanga,Mbeya na Mwanza
  6. Offshore Seamen

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Africa ngoja tuendelee na Internal Combustion Engine Kwenye trucking hata South Africa matajiri wananunua roli mpya za mwaka 2023/24 kufanya long haulage ya copper kutoka Congo DRC kwenda Durban Port na Port Elizabeth hawataki hizo Electric Vehicle mazingira sio rafiki hata kama ni nafuu kuzidi...
  7. Offshore Seamen

    Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

    Pale wana deal na trucks na heavy machines
  8. Offshore Seamen

    Naombeni mbinu za kumpata Mwanamke wa Ulaya

    Nenda Pangani au Zanzibar kwenye fukwe utapata hata mmoja
  9. Offshore Seamen

    Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

    Siku atakutana na mwamba atalazwa chini
  10. Offshore Seamen

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Manager of Port Operations (DP World)
  11. Offshore Seamen

    Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Hizo Goli 8, kuanzia saa 6 mpaka asubuhi ni zile kama za Aziz Ki za kugusa mstari
  12. Offshore Seamen

    Mchungaji Kimaro: Wanaume walikuwepo zamani walioweza kujenga barabara ya Mawe Ngorongoro, Wanaume we Leo wanajua kufuga Ndevu tu!

    Yesu licha ya kazi ya Injili alikuwa akimsaidia baba yake mlezi ufundi selemara, huyu mchungaji yeye sadaka za wavivu ndio zina mpa jeuri za kutaka watu wafanye manual works zama za science and technology
  13. Offshore Seamen

    Mchungaji Kimaro: Wanaume walikuwepo zamani walioweza kujenga barabara ya Mawe Ngorongoro, Wanaume we Leo wanajua kufuga Ndevu tu!

    Mbona yeye pia ni mvivu anategemea sadaka za kanisani. Mwambie aende Kiwangwa akalime nanasi aone uvivu upoje
  14. Offshore Seamen

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Wafagizi ni vibarua wa kutwa wapo chini ya Suma jkt guard
  15. Offshore Seamen

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Bwashee nyosha kanzu mapema kesho twende tukashuhudie DP World akipewa kijiti
Back
Top Bottom