Search results

  1. ERASTO SYL

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi leo kwa kile inachosema ni uchochezi na kwamba Mhariri, mara zote katika utetezi wake amekuwa akinukuu kifungu cha 18 cha Katiba ya nchi yetu ambacho kinatoa uhuru wa kutoa maoni na kwa makusudi kutonukuu kifungu cha 30 cha Katiba hiyo...
  2. ERASTO SYL

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Baada ya serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi leo kwa kile inachosema ni uchochezi na kwamba Mhariri, mara zote katika utetezi wake amekuwa akinukuu kifungu cha 18 cha Katiba ya nchi yetu ambacho kinatoa uhuru wa kutoa maoni na kwa makusudi kutonukuu kifungu cha 30 cha Katiba hiyo...
  3. ERASTO SYL

    Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    KAULI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI: 'Kuwa na nywele nyingi haimaanishi una uwezo wa kufikiri', sasa baada ya Lissu kuilaani kauli hiyo akiitafsiri kwamba ina lengo la kumdhalilisha yeye na wengine kwamba wana nywele lakini hawana uwezo wa kufikiri, akamwomba naibu spika amwamuru AG aute kauli...
  4. ERASTO SYL

    Yanayojiri baada ya MNYIKA (MB) kufika Polisi Singida!

    members, hebu fikirieni ingekuwa ni mkutano wa CCM halafu wakatokea wanachama wa CHADEMA wakafanya fujo na hatimaye wakauwawa baadhi yao na washabiki wa CCM! Je kesi bado ingekuwa ina sura hii ya sasa? Nadhani CHADEMA wangeshutumiwa kwa kuingilia mikutano ya chama kingine na kufanya fujo. Tena...
  5. ERASTO SYL

    Ninavyomjua Hemedi Msangi

    Ye Nyumbai...kama wewe unamfahamu zaidi si utoe maelezo yako hapa?
  6. ERASTO SYL

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Hadithi yote hii ni ya kusadikika sana katika uhalisia.Imeandaliwa story itakayoleta maana ili mtu huyo aliyepandikizwa apotoshe ushahidi wa kweli. Jiulize; 1. Jambazi gani linaweza kwenda kanisani kujitambulisha kirahisi tu kuwa ndiye lililomtaka Dr. Ulimboka? Hii inahitaji mabadiliko ya kweli...
  7. ERASTO SYL

    Madaktari hurudisha fedha walizopewa kama mkopo kwa HESLB?

    Ndugu senior member, nadhani nawewe huna taarifa sahihi katika hili swala. Madaktari kuanzia mwaka 2006/07 walianza kupewa mkopo kwa asilimia kama taaluma nyingine tu,kuna wengine walipata 20%, wengine 40%,wengine 80% na wengine 100%. Katika vyuo binafsi kama KCMC, HKMU, etc serikali kupitia...
  8. ERASTO SYL

    Hongera Mzee Aboud Jumbe kutimiza miaka 92 [Happy Birthday]

    Mzee Aboud Jumbe alifungwa kifungo cha kisiasa, hakutakiwa kusafiri nje ya nchi wala kuzungumzia siasa.Na Serikali zote zinazokuja zinaheshimu hukumu hiyo!Hawawezi kumzungumzia kabisa!!
  9. ERASTO SYL

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    Kweli kabisa namuona hapa Mh.Mnyika amejitahidi sana kufanya marekebisho kwa maslahi ya wafanyabiashara wa Tz.Inaonekana kapitia sheria moja baada ya nyingine na kutafakari...then akatoa mapendekezo yanayoendana na hali halisi na mazingira ya Kitanzania ili sheria isiwe mzigo bali isaidie...
  10. ERASTO SYL

    Mzimu wa Balali waibuka "twitter"

    Whether it is true or not.Mie nina swali: Kwa kuwa nchi ya wenzetu ina uwezo mkubwa wa kutunza taarifa za ki-uhamiaji na wageni wanaoingia na kuishi nchini mwake,Hivi kwanini Serikali ya USA isiombwe kutoa ushahidi wa tukio hili?Kwa nini nchi yetu isiombe investigation ya kujua kama yu hai au...
  11. ERASTO SYL

    SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

    Sasa wewe ndugu uko upande wa nani!!??Maana bado ukweli wowote hauujui bado!Hata ukiujua tayari, huku kuumbuka wewe kunakupaje furaha? Awe kapewa sumu au la wewe unapataje satisfaction as an individual? Nahisi wewe ni mmoja wa hawa watu wanaofurahia mambo fulani yaendelee kufichika machoni mwa...
  12. ERASTO SYL

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Sasa mbona wapiganaji wote watakuwa INDIA Jamani.Halafu hawa Al Shabaab nao wanatutia hofu...wasije kutekwa huko ugenini!!
Back
Top Bottom