Search results

  1. knock knock

    Kilichojiri Mkutano na waandishi wa Habari CUF-Chama cha Wananchi upande wa Maalim Seif 09.03.2019

    MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI (PRESS CONFERENCE) THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi) MAELEZO YA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) MBELE YA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MUENDELEZO WA HUJUMA ZINAZOFANYWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI JAJI FRANCIS KATABAZI...
  2. knock knock

    Fatma Karume - "Niko tayari kuwafundisha CCM Katiba"

    Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Fatma Karume amesema yuko tayari kuitwa na chama chochote cha siasa nchini kwa ajili ya kutoa elimu ya masuala ya Katiba na sheria za nchi na kusisitiza kuwa msimamo wake hautabadilika. Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Fatma Karume...
  3. knock knock

    Halima Mdee: Upinzani tumeamua kuungana mapema

    Halima Mdee akihojiwa na DW asema tumeamua upinzani kuungana mapema na sio very late kama ilivyokuwa tukiungana hapo awali ili kupambana na nguvu za nje. See Video
  4. knock knock

    Wajasiriamali wahofia usimamizi wa Jeshi ununuzi wa korosho

    Wanawake wajasiriamali wanaoshughulika na kubangua korosho nchini Tanzania wamelalamikia mpango mpya uliotangazwa na rais Magufuli ambapo sasa jeshi la nchi hiyo litasimamia biashara shughuli hiyo. Wanawake hao wanasema kuwa hatua hiyo itawanyima fursa ya ununuzi wa kiwango cha kawaida kwa...
  5. knock knock

    Picha: Prof. Lipumba azindua Kampeni ya Nguvu Jimbo la Jangombe kule Zanzibar katika Uchaguzi Mdogo

    Mkwenyekiti wa CUF Taifa ambaye anatambuliwa na Msajili wa vyama, Alhaj Prof Lipumba jana tarehe 18.10.2018 akizindua kampeni za nguvu katika uchaguzi mdogo Jimbo la Jangombe uwanja wa Baja kule visiwani Zanzibar kwa kumnadi mgombea wa Uwakilishi jimbo hilo badala ya yule aliyevuliwa uwanachama...
  6. knock knock

    Mkurugenzi wa Vyuo Vikuu JUVICUF aachiliwa kwa dhamana baada siku 7 Madema

    Mkurugenzi wa Vyuo vikuu na taasisi ya elimu ya juu JUVICUF Mhe. Moh'd Ibrahim Rajab ameachiliwa kwa dhamana jioni ya leo tarehe 04/10/2018 kutoka mikononi mwa jeshi la Polisi baada ya kushikiliwa kwa takriban siku 7 katika kituo cha Polisi cha Madema Mjini Unguja. Abeid Khamis Bakar...
  7. knock knock

    Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

    Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM. Mbunge wa...
  8. knock knock

    VIDEO: Maalim Seif ''CCM mutaitoa nchi mutake musitake''

    Akiwa katika ziara maalum Kisiwani Pemba Katibu MKuu wa chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa ndani na kuongea na Wanawake na wajasiriamali JUKECUF ikiwa ni pamoja na kupokea wanachama wapya ambao wamejiunga na Chama cha Wananchi CUF. Na: Mwandishi wetu.
  9. knock knock

    Picha: Katibu Mkuu CUF Maalim Seif Shariff Hamad atua kisiwani Pemba kwa Sherehe Maalum

    Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad asubuhi hivi ya Leo amewasili kisiwani Pemba Kwa ajili ya Kushiriki katika Sherehe za Kutimiza Muaka 10 tangu Kuanzishwa Rasmi Kwa JUKE CUF Zinazofanyika Katika Ukumbi wa Dolphin Uliopo Bobwe jimbo la Gando Wilaya ya Wete Pemba. Na.Salim Bimani
  10. knock knock

    Picha: Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif atua Kisiwani Pemba

    Maalim Seif Sharif Hamad,Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Leo amewasili kisiwani Pemba na Kuanza ziara ya Kuwafariji Wagonjwa,kuwapa mkono wa pole Wafiwa,Kuwajuilia hali Wazee, na kufutarisha,ziara ni ya siku mbili kwa Wilaya zote nne za Pemba na Majimbo yote 18 yakisiwa Cha Pemba...
  11. knock knock

    HANSAD: Kilichomponza Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Jang'ombe CCM Zbar kuvuliwa Uwanachama

    Mwakilishi wa Jangombe juzi alivuliwa uanachama na kikao cha juu ya maamuzi cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kwenda kinyume a maadili na miiko ya chama hicho, hapa nimewatumia Hansad ya kikao cha Saba cha tarehe 5/10/17 cha kujadili ripoti ya utekelezaji ya Wizara ya Kilimo, Maliasili...
  12. knock knock

    Full: Mazungumzo ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif na Club ya Waandishi wa Habari

    Mazungumzo ya Katibu Mkuu WA CUF Maalim Seif na Club ya Waandishi wa Habari Mwanza aeleza msimamo na wapi tunaelekea kama chama cha CUF pamoja na umoja wa UKAWA anasema UKAWA upo hakuna wa kuuvunjani matakwa ya Watanzania Dondoo za aliyoyasema Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad...
  13. knock knock

    Naomba kujua kama Usajili wa Vyuo umeanza kama NACTE nk.

    Wadau wa forum hii heshima kwenu. Naomba kujua kama Usajili wa vyuo umeanza rasmi kwa mwaka huu 2018/19 kwa NACTE ama labda kama kuna linki ya za vyuo mbali mbali ambavyo vimeanza tofauti na NACTE. Zaidi kwa course mbali mbali za Diploma kwa wale wanafunzi waliomaliza O Level lakini wakawa na...
  14. knock knock

    CUF: Huu utata wa TZS 1.5T kuna haja Bunge kuunda tume kuchunguza hizo fedha, wakigoma basi tumepigwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI – ( THE CIVIC UNITED FRONT) Nimeisoma taarifa ya Wizara ya Fedha (yenye kurasa tatu – nimeziambatanisha hapa) juu ya kile wanachokiita “KAULI YA SERIKALI JUU YA TUHUMA ZA UPOTEVU WA SHILINGI TRILIONI 1.5” (Maneno yangu). Taarifa hiyo ya Wizara ya Fedha ambayo pia...
  15. knock knock

    Watu 3 waliotekwa wapatikana maeneo tofauti kisiwani Pemba

    Usiku Mkubwa wa Kuamkia Leo tarehe 15.4.2018 huku Mvuwa Kali ikinyesha bila ya huruma Vijana 3 waliotekwa na Watu Wasi julikana Wametupwa maeneo mawili tofauti na kuokotwa na Wasamaria wema na hivi sasa wako Hospitali ya Wete Pemba kwa Huduma za matibabu. Thuwein Nassor Hemed ( 30) Khamis...
  16. knock knock

    Katibu Mkuu CUF Maalim Seif apasua Anga akireje Unguja kwa vishindo kwa ziara nyengine

    MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AREJEA KISIWANI UNGUJA BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA. Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad akiambatana na wasaidizi wake, (viongozi wa chama ) wawasili kisiwani Unguja leo tarehe 01/04/2018 majira ya asubuhi baada ya...
  17. knock knock

    PICHA: Maalim Seif aibua hisia za ndani Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake ya siku 4. Apokea zawadi KEMKEM

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Shariff Hamad ameibua hisia kali na za ndani kisiwani Pemba kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF akiwa anamaliza ziara yake ya siku 4 kisiwani Pemba. Ikumbuke ziara hii ilianza rasmi siku ya tarehe 27.3.2018. Jionee picha mbali mbali akiwa...
  18. knock knock

    PICHA: Maalim Seif Shariff Hamad apokewa kifalme Kisiwani Pemba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad jana tarehe 27.3.2018 amewasili Kisiwani Pemba kwa ziara ya siku 4 kwa mikoa yote kisiwani Pemba. Watu walianza kufurika kiwanja cha ndege cha Abeid Amani Karume na badala yake kujipanga misururu pande zote za barabarani kila...
Back
Top Bottom