Search results

  1. L

    Tumuenzi Magufuli kwa kuirasimisha Magufuli Day

    Mimi nitamkumbuka kwa mauji ya watu wasio na hatia, miili kukutwa inaelea ufukweni mwa bahari, watu kutengenezewa kesi za money laundering and economic crimes. Yes, tutenge Magufuli Day ili tuwatanabaishe future generation to avoid repeating our mistakes.
  2. L

    Tasnia ya habari hamumpendi mkuu wenu wa nchi? Mbona mnatia aibu?

    Msemaji wa serikali alitakiwa kuwaita wanahabari na kueleza Rais ana shida gani na yuko wapi. Sote tumejaa hofu. Mleta mada naye amejaa hofu ndo maana anapeleka lawama kwa tasnia ya habari badala ya mamlaka inayohusika.
  3. L

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Hapana. Hata akipona, damage ni kubwa sana hivyo hatoweza malizia
  4. L

    #COVID19 Hongera Serikali kwa Mwongozo wa Kupambana na Covid 19

    Tatizo letu kama nchi ni kutoelewa mtu mwenye matatizo ya akili yupoje? Siyo kila kichaa uokota makopo. Some of the features of a mad person are as follows: 1. Confused thinking 2.Denial of obvious problems 3. Delusions or hallucinations (seeing or hearing or believing things that are not...
  5. L

    Corona: Vita ya kiuchumi Tanzania dhidi ya nani?

    Characteristics of a mad person: 1. Confused thinking 2. Denial of obvious problems 3. Delusions or hallucinations (seeing or hearing or believing things that are not really there) Jiwe has all these characteristics
  6. L

    TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

    Ili kunusuru nchi na watu wake, inabidi jiwe akamatwe, afungwe kamba na apewe dawa zake za ukichaa kwa lazima. Kichaa kimezidi. Nadhani Zambia waliwahi pata bahati mabaya ya kupata kiongozi mwenye matatizo ya akili lakini waliweza handle hiyo hali strategically.
  7. L

    AP: Tanzania’s COVID-denying leader urges prayer as cases climb

    To understand jiwe easily you might need to learn a little bit about mental illness.
  8. L

    Mambosasa: Tumempuuza Mwamakula na kumuachia baada ya kutimiza masharti ya dhamana

    Tanzanian Police Force is very politicized.
  9. L

    Siasa zetu zinatuponza. Tumshauri Rais kuhusu Covid-19

    The person who is suffering from mania is always difficult to advise. When his advisers meet him he is the one advising them.
  10. L

    Gazeti la "Los Angeles Times" laandika: Magufuli akataa uwepo wa COVID, baadhi ya wananchi waanza kukataa kukubaliana naye

    Kama mtu amesoma kozi ya mental health atajua mambo mengi kuhusu mental illness na haito mchukua dakika tano kumuelewa Magufuli.
  11. L

    Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

    Do not be sad. Kuna jambo flani lina boil. Just stay tunned. Pana solution ya huu upuuzi
  12. L

    Uchaguzi 2020 Geita: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Huyo siyo wa itikadi, yeye hiyo ni ajira (buku 7)
  13. L

    Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Hawezi kushinda uchaguzi bila kuua watu. Lazima azime mitandao ili afanye mambo gizani
  14. L

    Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Mzee Mwinyi ulishapata urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwanao amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi. Leo hii majeshi yanaua watu Zanzibar ili mtawale. Mnataka nini ninyi kizazi cha nyoka?
  15. L

    Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba. Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,. Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na...
  16. L

    Uchaguzi 2020 Vyama 8 vinavyoshiriki Uchaguzi vyamtaka Mbowe ajieleze kwa Msajili baada ya kuviita ni vyama bandia

    If they feel aggrieved, let them file a suit against Mbowe. Wao wanajua kwamba ni vibaraka wa CCM ila hawataki mtu aseme hilo jambo.
  17. L

    Uchaguzi 2020 Nitamchagua tena Dkt. Magufuli kwa sababu hizi...

    Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba. Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,. Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na...
  18. L

    Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli bado tunamhitaji sana kama Taifa

    We do not need this devious politician. He has murdered our fellow citizens. He is of no use to us.
  19. L

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe, Said Mabera afariki dunia

    Mebera ndiye aliyemleta Hassan Rehan Bitchuka kweye band ya NUTA wakati huo Bitchuka alikuwa bado mdogo sana kiumri na wote wakawa wanamwita "bwana mdogo"
Back
Top Bottom