Search results

  1. B

    Polisi toeni tamko kali, wanaume wa Dar tumewakosea nini wa Mkoani?

    hee hivi wanaume mnaoneanaga wivu? hivi wanaume hiwa mnakejeliana kweli dunia iko ukingoni
  2. B

    Hivi kwanini wanawake wa siku hizi ni wafupi sana?

    lishe duni. elimu ya lishe inahitajika sana si wanawake tu hata wanaume wengi wako stunted
  3. B

    Inaonekana hata majambazi na wakianzisha jumuia yao dunia itawatetea

    shetani kaamua atawale na shetani anajua Mungu aliumba mwanamke na mwanaume ili watengeneze family. Mungu anataka familia takatifu na watt walelewe kwa familia. ila shetani katuingilia kahakikisha kwamba vitendo viovu kama ndoa za wenza wengi, jinsia moja, mtu anaamua ktafuta watt bila baba...
  4. B

    Kufikia sasa Kenya ina medali 11 kwenye mbio zinazofanyika Durban,AK

    najua kuna makabila mengine na ninasikia kuna makabila mengine yameingia ndio ukora unasikika miaka hii. ila majority wanatoka sehemu moja. ni vizuri kenya inajulikana coz of riadha rugby na hata cricket.
  5. B

    Kufikia sasa Kenya ina medali 11 kwenye mbio zinazofanyika Durban,AK

    niko nairobi ndugu Ruto hata akiwapokea si wanaongea kikwao. any waykuna nchi niliona michezo inawaunganisha sana unajuta hata hivyo vipaji viko maenro mengine ila havijavumbuliwa. so wanamichezo wanatembea na maeneo mengine kuonyesha medali ili kuwavutia na wengine na kuwa encourage pia
  6. B

    Nimegundua wanawake wengi (85%) wanateseka sana ndani ya ndoa

    hata mimi nimeshangaa naona wanaume ndio wanaokufa haraka kuliko wanawake
  7. B

    Kufikia sasa Kenya ina medali 11 kwenye mbio zinazofanyika Durban,AK

    hongereni sana majirani kwa medali. lakini uzuri ushindi huu ni wa kimataifa tunasema ni wakenya. wakifika airport wanapokelewa na watu wao na vibuyu vyao sijui vya maziwa ya mtindi halafu hao wanaenda eldoret kwa wale wengine kama wapokom wa kule tana river hawafeel chochote.
  8. B

    Banana Republic alert: Tanzanian charged for insulting president on WhatsApp

    sio lugha ya wazungu sema lugha ya waume zetu. ndio maana tunazinyenyekea chezea kuolewa na mwanaume mwenye pesa utaongea lugha yake tu. ndio kinacjofanyika afrika
  9. B

    Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    pole sana mwanangu tuliza kwanza kichwa kwa wiki moja huku ukiomba Mungu atakufunulia cha kufanya. Najua uko na wakati mgumu kwa kipindi hiki jaribu kufanya mambo unayoyapenda kama ni mziki au kuwatch movie etc. usifanye maamuzi ukiwa na hasira utakuja jutia baadae
  10. B

    Migogoro ndoa za wasomi

    ndoa haina formula nimeona ndoa nyingi ambazo wanawake sio wasomi na zimeishia kwa kuachana au unakuta wanafanya ujinga mpk unashangaa. chamuhimu upate mtu anayemuogopa Mungu despite elimu yake. ukiomba Mungu atakupa mke mzuri tu au mme mzuri pia na wewe uwe na matendo mazuri
  11. B

    Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

    kwani hujui mapua ya kibantu we tembea tu utayaona.
  12. B

    Wanawake wa Kichagga na Kihaya mtatumaliza

    poleni zenu mwanamke si kabila ni tabia. kuna watu wanavyooa wanaangalia mengi. kuna wengine wanaangalia mpk quality ya watt kuanzia akili mpk sura. any way mimi ni mchanganyiko wa makabila manne na niko very proud. watu wakichanganya damu ni vizuri kuna somebad characters tunaziondoa na our...
  13. B

    Mrejesho: Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tanzania

    hongera kwa uamuzi ila naogopa umwambie mkeo ukweli maana hujui ata react vipi unaweza ukakosa bara na pwani. wanawake ni watu wa visasi sana na huwa hawasahau kiufupi utamwachia kovu ambalo halitaisha moyoni kwake yaani ndoa inakuwa si tamu tena. ushawahi ona mtu na mme wanaishi pamoja lakini...
  14. B

    Unamiliki silaha ili iweje?

    umesema kweli mshana ukiwa unajua utaibiwa au unawaza sana utahangaika sana na hii dunia. mi mwaka jana nililala kwa zaidi ya mwezi kwenye nyumba siyokuwa na geti tena nairobi nikaambiwa nitavamiwa na majambazi nikawaambia watu sitaingiliwa na yeyote na ninalala na amani kabisa kwa sababu najua...
  15. B

    Mzizi wa fitna ukatwe leo, wanaume kujeni

    aliyekudanganya kama wanawake ni malaika ni nani? unavyojisifu unacheat una na nani? wanaume wenzako? kama unacheat na wanawake basi juahata
  16. B

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    kuna familia zinahitaji sana maombi hii ni mojawapo yeye mwenyewe hakulelewa na wazazi ila yeye ni kwa bahati mbaya walikufa ila na yeye anataka kuacha mtt wake ateseke bila malezi ya baba kweli kunaunalolitafuta utalipata muda si mrefu.
  17. B

    Nilijifunza siwezi kuongea negative ya mtu yeyote kwa lugha yoyote, ni kheri nimwambie usoni

    mi nakumbuka tulikuqa tunamsema mchina kuwa ni kafupi sana hata size ya nguo na viatu lazima anavaa za watoto. looh baadae akatusalimia kwa kiswahili vizuri na hapo hatukuwa Tz. nimeifunza kuchunga ulimi wangu.
  18. B

    Elimu ya majirani ndio inakwamisha EAC

    usis usisahau tower of babel pia ilikiwa kenya maana hapo kila mtu na lugha yake yaani na kusoma kote wanakojisifu wameshindwa kuwa wamoja kila mtu anaangalia kabila kwanza then kenya baaadae.
Back
Top Bottom