Search results

  1. A

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Tangu kuanza kwa hili sakata la mafuta nimefuatilia kwa ukaribu sana watu wanasema nini. Wengine wamethubutu kusema jeshi liingilie kati, wengine wakasema wachome vituo vya mafuta na maneno mengi sana. Lakini Watanzania ni lazima tufikiri kwa upana zaidi na tusiwaone kwamba wauza mafuta ni...
  2. A

    Ajira za watanzania kuchukuliwa na wageni, serikali ipo?

    KUMEKUWA NA WIMBI LA WAGENI HASA WAHINDI AMBAO WANAINGIA NCHINI KWA KISINGIZIO KWAMBA NI WATAALAM (EXPATRIATE), LAKINI KAZI WANAZOKUJA KUFANYA NI ZILE AMBAZO VIJANA WAKITANZANIA WANAWEZA KUZIFANYA VIZURI SANA. KWA MFANO KATIKA KAMPUNI YA NOKIA SIEMENS, KUNA MHINDI MMOJA ETI ANAITWA EXCEL...
  3. A

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Mimi nadhani ajivue pia na uraia wa nchi hii. Ahame tanzania atuachie nchi yetu. Ametuibia vya kutosha na kujifnya mfanyabiashara kumbe mwizi. Ahame nchi hii
  4. A

    Ajira bila mkataba

    Kampuni moja ijulikanayo kama Kingsway International au maarufu kama American Garden inaajiri wafanyakazi bila mkataba wowote, na wakati wowote inafukuza wafanyakazi bila kufuata sheria ya kazi ya nchi. Lakini vilevile inawakata mishahara kwa madai kwamba ni michango ya hifadhi ya jamii, lakini...
Back
Top Bottom