Hii hata Lissu Mwenyewe haiwezi, maana amejaa chuki za wazi kabisa na si kwamba eti ana mpango wa kufanya kitu tofauti sana. Maana nimeshangaa vitu anavyoviongelea kwa uchungu kama kero, hajui kuwa imekuwa historia kwa sasa.
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kampeni za vyama hivi viwili ili kujua nini hasa sera zao. Nini hasa watakwenda kutufanyia Watanzania katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Ni kwa namna gani watatuletea maendeleo endelevu Watanzania.
Kimsingi nimeona tofauti kubwa sana katika vyama hivi...
Hilo la kung'ang'ania madaraka nadhani upinzani kwa upande wao huwa wanaona ni shida. Kila siku wanadai vitu ambavyo hata ndani ya vyama vyao wameshindwa ku-practice. Tuna safari ndefu sana kufikia Kujitambua.
CCM walieleza bayana mchakato utakavyokuwa. Not only once, mwenyekiti alisema kushinda kura za maoni doesn't mean ndo kuteuliwa. Sema wewe ulijiaminisha tu kichwani mwako.
Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
Hatuna usafi wowote kuzidi hao wanao tuzunguka, but lazima tu-appreciate kuwa viongozi wetu wamefanya kazi kubwa sana kutufikisha hapa tulipo. Walipokea kejeli za kila aina but walikaza msimamo wao wa kuhakikisha kuwa tunakwenda katika njia ambayo ni salama zaidi kwa upande wetu, otherwise...
Zitto angezungumza ukweli kwa wakati ule hakuna ambaye angemfuatilia sasa. Yeye alijikita kuonyesha kuwa Tanzania ni nchi chafu pengine kuliko nchi yoyote duniani. Sasa mbona anadunda tu kitaa? Na hata alipopewa hali halisi na wataalam wetu alikuwa akiongea kinyume. Aongee ukweli sasa hali ikoje?
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
Kwa muda mrefu chama cha ACT-Wazalendo kimekuwa kikiwashawishi Viongozi wa CHADEMA ili wakubaliane na wazo lao la kushirikiana au kuungana katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo ndio wameonekana kuwahitaji zaidi Chadema, kuliko wao kuhitajiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.