Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano.
Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
Habari zenu wadau.
Nimeona mimi kama mfanyakazi ninayeguswa na sheria na taratibu za mifuko ya hifadhi ya jamii nitoe pongezi kwa wabunge hawa Halima Mdee na Ester Bulaya kwa hoja zao bungeni kutetea wastaafu ambao ndio wachangiaji na wanufaika wa mifuko hii.
Ni mara nyingi tumesikia wabunge...
Habari zenu wana jamvi.
Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
Amani kwenu wana jamvi,
Nimetafakari sana nikaona kupitia jukwaa hili nipeleke ombi kwa serikali juu ya kiinua mgongo kwa wastaafu. Nikiri wazi kuwa mimi ni mfanyakazi kwenye makampuni ya watu binafsi, nimeshuhudia watu wakistaafu miaka ya nyuma na wengine waliostaafu miaka ya hivi karibuni...
Habari zenu wanajamvi,
kama habari inavyosomeka
nitangulize samahani huwenda nimekosea
herufi za taasisi husika(Tarura) nilitaka kumaanisha
ile idara inayoshughulika na barabara inayofanya kazi
kama TANROAD.Naisikia taasisi hii ila sielewi majukumu yake.
Mimi ni mkazi wa kisukuru migombani njia...
Habari za majukumu wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza,serikali iliunda
mfuko huu ambao ni sheria kuchangiwa na kila mwajiri.
Kabla ya mfuko huu kuanzishwa waajiri walikuwa
wanahusika kuwalipa wafanyakazi wao fidia pale wanapopata
matatizo/maafa kutokana na kazi wanazozifanya,lakini pia
mashirika...
Habari zenu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Juzi tuliona kwenye vyombo vya habari
kuhusu mizoga ya ng'ombe 15 waliokuwa
wamepelekwa tegeta Dar es salaam ili
kutengenezwa na hivyo kuwauzia watu kama kitoweleo.
Tumemsikia meya wa manispaa ya kinondoni
akilaani kitendo hiki cha...
Habari zenu wandugu, Poleni na majukumu.
nimeona nitoe tahadhari kwa vijana
wanaoishi nyumbani kwao au hata maboss
wenye ma-house girl(matured 19yrs+)
kuzoea kuwatania kwa maneno yenye mistari
ya mahaba ndani yake kama vile
-Unapendeza sana,natamani nikutembelee usiku.
-Nilikuja chumbani kwako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.