Mimi sijaelewa,
unamaanisha israel kupigwa ngumi au kupigwa kivipi?
Maana juzi tu amerushiwa makombora na drone mia tatu hamsini bila madhara makubwa.
Na hamas alimrushia maelfu ya makombora na kuua watu zaoidi ya elfu moja.
Fafanua kidogo tupate mantiki
Ipi bora mkuu.kuzalisha gunia moja kwa heka angalau ukala ugali au kuendelea kuhemea
huku heka yako moja ikizidi kuota mbigiri?
Mi nadhani Tanesco wakijiongeza,wanaweza kuongeza uwezo wa mashine kwa kufunga mashine za kisasa zaidi
hapo mbeleni.Kwa sasa tupongeze hatua iliyofikiwa.
Tusubiri April ipite salama,hata enzi za nuhu kuna waliokuwa wanambeza wakati anajenga safina,sababu waliona kiangazi wakati jamaa anawaambia kuna mafuriko yanakuja.
Nao ni binadamu,na ukumbuke nao mishahara haiwatoshi,
kumbuka,hapa kesi kubwa ni mtoto kupigwa kupita kiasi.
Ndo maana ni muhimu sana kujiepusha kupigana.maana hatujui afya za watu.
Unawezapata kesi ya kuua kumbe umemmalizia marehemu alishakufa.
Kosa la huyu mwalimu ni kumpiga mtoto mangumi...
Ndugu yangu,hivi msomi ni yupi?
Kuna sehemu niliajiriwa,ilikuwa ukiangalia vibarua wengi ni form four na six ambao hawana
wa kuwaendeleza wanasaka chapaa ili wajisomeshe na wengine hawakupata maksi nzuri
ili kuendelea,Sasa ukiangalia mshahara huo kama huna mtu anayekuhifadhi huwezi fanya lolote...
Yule mwalimu aliyechezesha watoto mziki wa annii,alishughulikiwa haraka.
Huyu anayeficha muuaji,tunasubiri taratibu zifuatwe.
Nakushauri lalamika kwa waziri wa elimu haraka iwezekanavyo. Alafu mbona mama anahangaika peke yake?
Baba yuko wapi,na anafanya nini? au ndo wale wanaume mithili ya...
Sasa yale yanayojitoaga muhanga yanakuwa yameuawa na nani?
Na habari za kusadikika ni kwamba moja kwa moja huwa yanawahi mito ya mvinyo na mabikira 72.
Nikuulize kitu,hizo barabara za rami mpaka migombani nazo zimejengwa na wananchi wa eneo hilo au ni serikali?
Na suala la uzazi wa mpango,huko kwenu kuna maendeleo kuliko china ambako watu ni karibia 2b?
Kwa mtizamo wako.ila mimi nilichoandika ndicho nilichomaanisha.
Usilolijua ni kuwa kiingereza ni lugha kama kilugha cha kwenu.
ukizaliwa sehemu automatically utaongea lugha inayoongelewa sehemu ile.
Ukienda shule,watakufundisha kuandika unachoongea.Usipoenda shule unaishia kujua kuongea
ila...
Mk
Mkuu umewahi kuwa au kufanya kazi na wazungu ambao kwao sio uingereza,au marekani?
Nilichojifunza mimi ni kwamba,tunaohangaika na gramma kama kigezo cha usomi ni sisi watu weusi.
Mzungu anajali usome kilichoandikwa na uwe na uwezo wa kuelewa na kukifanyia kazi basi.
Ningekuelewa zaidi kama...
Kwa kusoma hii kauli naweza kuhisi unatokea sehemu gani ya Tanzania.
Kusema ukweli mna ubinafsi sana na ndo maana watu wanaogopa sana kuchagua kiongozi kutoka
ukanda wenu. Kwenu hamkuendelea kwa juhudi zenu tuu,ni juhudi za wote watanzania wavuja jasho.
Ila viongozi waliangalia vipaumbele ili...
Mimi sio mtaalam wa afya lakini nimejaribu kuangalia madawa yaliyofutwa sielewi,
sasa najaribu kufikiri,labda ni madawa ya gharama ndogo ambayo watoa huduma walikuwa wanaiuzia serikali
kwa pesa kubwa wakati katika uhalisia sio bei yake.
Kwa mtu ambaye aliwahi kulazwa akahudumiwa na bima pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.