Search results

  1. Sylvester mpepi

    Ushauli wenu anaweza kwenda form 5

    Ahaa shukrani sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Sylvester mpepi

    Naombeni ushauli kwa mdogo angu amemaliza form 4

    ENGLISH ana D Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Sylvester mpepi

    Naombeni ushauli kwa mdogo angu amemaliza form 4

    Mdogo angu kamaliza form iv
  4. Sylvester mpepi

    Maswali kuhusu simu na kompyuta

    Msaada mkuu mi natumia simu ya tecno spark ila inazingua kwenye screen record yani kila app nitakayo tumia inaandika insufficient ram screen record will stop soon unaweza nisaidia jinsi ya kuongeza ram kwenye cm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sylvester mpepi

    Habari wanajamii nahitaji msaada wenu

    ahaa sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Sylvester mpepi

    Wanajamii naombeni ushauri

    Ahaa nimekuelewa vzr ahsante sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Sylvester mpepi

    Wanajamii naombeni ushauri

    Naomba kuuliza eti utofauti wake ni upi kwenye coz ya computer science kwa mtu aliye enda adi A level na anaye soma kupitia college Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sylvester mpepi

    Wanajamii naombeni ushauri

    Ahsante sana kwa ushauri wako broo nimzuri sana itanibidi niende private Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sylvester mpepi

    Habari wanajamii nahitaji msaada wenu

    hapana nina penda sana computer science Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sylvester mpepi

    Wanajamii naombeni ushauri

    huu sio uwezo wangu nimeteleza tuu daah nimejuta sana kupata ivi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sylvester mpepi

    Habari wanajamii nahitaji msaada wenu

    Mimi ni mwanafunzi niliye maliza form four matokeo yangu ni Physics C chem D math D kiujumla nina three 24 ushauliwenu wanajamii comb ya pcm nisome private form 5&6 malengo yangu baadae nije kusoma computer science au ni ende college Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sylvester mpepi

    For JamiiForums Mobile users

    Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sylvester mpepi

    For JamiiForums Mobile users

    Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sylvester mpepi

    Nauza facebool page yenye like 20K yani elfu ishirini

    We nipe tuu ata 30000 tu nikupe uadmin uanze tangaza biashara yako
Back
Top Bottom