Search results

  1. Elia F Michael

    Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru

    Nilishamueleza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kakonko juu ya kusudio langu la kuacha kuwa mwanachama wa @ccmtanzania na kuwa mtu huru kwa sasa. Nilimueleza kwa sababu yeye ndiye alinisindikiza kwenda kuonana na Rais Magufuli kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam tukipokelewa na...
  2. Elia F Michael

    Ushauri kwa CCM-Tanzania

    Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri === UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA. Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027 Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba {Ufunuo 1; 9-14} akiwa katika kisiwa cha Patmo,vivyo hivyo nami ninawaandikia Watanzania hasa...
  3. Elia F Michael

    Tushiriki meza hii.

    CCM
  4. Elia F Michael

    Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

    Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
  5. Elia F Michael

    Kilo 5,5584 za pamba zimekamatwa zikiwa zimeuzwa kwa nija za magendo

    Leo tarehe 23/07/2020 nimekamata Kilo 5,584 za pamba Katika Kijiji cha NG'WAGALANKULU Tarafa ya Mondo Wilaya ya Kishapu zilizouzwa kinyume na utaratibu tena kwa kutumia mzani tofauti na kutunzwa kwenye nyumba ya mtu Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa zao hilo ambalo linatakiwa kuuzwa...
  6. Elia F Michael

    Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

    Ninakusudia kuchukua fomu ya Kugombea Ubunge. Safari hii ni Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa CCM Jimbo la Buyungu itawasaidia Wana CCM wa Wilaya ya Kakonko kuwa na Machaguo mengi. Kuhusu Ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais,hapo hakuna kazi...
  7. Elia F Michael

    Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

    "I will prepare ,and one Day my time will come" Abraham Lincoln. "Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika" Njia nzuri ya kuhakikisha ndoto yako inatimia ni kuendelea kujiandaa,ili itakapokuja ikukute uko tayari. "USIACHE KUJIANDAA" Wasalaam...[emoji1241][emoji122]
  8. Elia F Michael

    Naendelea kutoa huduma ya uongozi kwa wananchi wa Tanzania

    Katika kutembelea Vijiji vya Kishapu,wiki 2 zilizopita nilifanikiwa Kufika Kijiji Cha Seke IDIDI nikakutana na vyumba 3 vya madarasa na nyumba 2 za Walimu ambazoo zilijengwa miaka 7 iliyopita kwa nguvu za Wananchi kwa lengo la kuongeza Shule ya Sekondari ili kuwapunguzia Umbali Wanafunzi ikiwa...
  9. Elia F Michael

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  10. Elia F Michael

    Elia Michael: Kuhusu mimi kushiriki ziara ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa Mwanza

    Wakati Halmashauri kuu ya CCM Taifa ilipowasili Busisi ambako pia utawala wa Ndugu yangu Kusheku Msukuma ni Mbunge, Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu yangu Polepole alinisimamisha mbele ya Mkandarasi anaejenga Daraja la Kigongo -Busisi Kilomita 3.2 lenye thamani ya Tsh Bilioni 699 ili...
  11. Elia F Michael

    Kupitia kipindi cha Ajenda 2020 Star Tv nitazungumza na Watanzania kwanini nimehamia CCM

    Nilianza siasa za kugombea katika nchi yangu August 2015. Ni kweli kwamba nilichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Gwarama nikiwa Mwaka wa 2 Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama alivyoandika kaka yangu @malisa_gj na @charles_william2 . Nilipewa heshima kubwa sana na ya pekee kama Kijana aliyeamua...
  12. Elia F Michael

    Magufuli ni FDR wa Tanzania

    Na Elia F Michael. Baada ya kile kinachoitwa Great Economic Depression cha mwaka 1929-33 kuipiga Marekani na Ulaya alitokea Rais pale Marekani wa 32 aliyekuwa anaitwa Franklin Delano Roosevelt (FDR) ( 1882-1945) kutoka chama cha Democrat. Ni Rais wa Marekani ambae alikutana na hali mbaya ya...
  13. Elia F Michael

    DSO Kakonko amemtafuta mzazi wangu

    Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kakonko(DSO KAKONKO) Joseph Komite amempigia simu Baba yangu Mzazi Mchungaji FREDRICK MICHAEL (kwenye picha) akimtaka waonane Juu ya Maswala yangu leo. Baba amenieleza jambo hilo kwamba ameitwa kisha nikamuuliza DSO KAKONKO kwa ujumbe wa mfupi kwa njia ya simu...
  14. Elia F Michael

    Kigoma: Katibu wa vijana wa Kakonko (CHADEMA), atekwa apigwa na kujeruhiwa vibaya sana. Akimbizwa Hospitalini

    Tar 22/07/2019 Siku ya Jumatatu majira ya saa tatu kasoro usiku Augustine Anatory Masabo alikamatwa,akaingizwa kwenye Gari lenye namba za Usajili T 433 CSA na kisha kupelekwa asikojua akapigwa na kuumizwa sana na kisha akatelekezwa na hao waliomkamata. Augustine ambaye ni Katibu wa Vijana Kata...
  15. Elia F Michael

    Kuhitaji nafasi ya Uongozi ni jambo moja na nafasi ya Uongozi Kukuhitaji wewe ni jambo jingine

    Kuna mambo 2 kwa Vijana wenzangu; 1. Kuhitaji nafasi ya uongozi 2. Nafasi ya Uongozi kukuhitaji 1. Kuhitaji nafasi yoyote ya uongozi - Unakuwa na hofu na wenzako ambao unadhani wanaweza kuwa hatari kwa malengo yako ya kutafuta nafasi. - Kwasababu hofu ipo juu ya wanadamu wenzako basi...
  16. Elia F Michael

    Tarehe 11/7/2019 nitamtembelea Rais Magufuli Ikulu kumueleza mambo yafuatayo

    1. Kuhusu Spika wa Bunge Mh Job Ndugai kumvua Ubunge Mh Tundu Lissu. Katika hili nitamueleza kuwa yule Mbunge ambae Rais Magufuli alimpa Pole kupitia Ukurasa wake wa Twitter Tarehe 7Septemba 2017 na kuagiza vyombo vya usalama kufanya upelelezi ili kuwabaini na kisha kuwatia hatiani...
  17. Elia F Michael

    Halmashauri zimenyang'anywa chanzo cha mapato kimya kimya. Naona Rais anazifuta Serikali za Mitaa kwa kuzifanya zishindwe kujiendesha

    Jana nimepokea malalamiko ya baadhi ya Wajasiliamali kwenye Soko la Kakonko Mjini kuhusu utoaji wa Tsh 20,000/= wakati huohuo Wakilazimishwa kutoa ushuru mwingine mdogo mdogo wa Halmashauri. Niliwaeleza hawatakiwi kutozwa kama wamelipia 20,000/= kwa mjibu wa maneno ya Rais. Lakini pia...
  18. Elia F Michael

    Ujerumani: Mtanzania afariki kwa kuchomwa sindano ya sumu kwa hiari

    Lizy Mtango, mtanzania anayeishi Ujerumani ambaye amekua akiugua kansa ya damu kwa muda mrefu (leukemia) amelazimika kuchomwa sindano ya kifo ili apumzike kutokana na mateso ya ugonjwa huo. Inaelezwa kuwa silent death (euthanasia) ni utaratibu unaoruhusiwa kwa baadhi ya nchi duniani kwa...
  19. Elia F Michael

    Tafadhali Waziri Mkuu, ukiwa ziarani Kakonko mkoani Kigoma nakukumbusha haya

    ZIARA YA WAZIRI MKUU KAKONKO. Naambiwa ulinzi ni mkali sana na wananchi wanatishwa na maafisa wa usalama kwamba wasiulize maswali. Najua haya mambo yalishafika mezani kwako ila mimi nakukumbusha tu; 1. Mh Waziri mkuu,najua upo Muhange kwenye soko la ujirani mwema na Nchi ya Burundi lakini...
Back
Top Bottom