Search results

  1. Msokwa1

    Kama usajili wako bado uko NACTEVET unaweza kurudi kuendelea iwapo ulisitisha masomo?

    Kama usajili wako bado upo kwenye nacte lakini uliquit masomo hii inatosha kusema unaweza ukarudi na kuendeleza pale ulipoishia?
  2. Msokwa1

    Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

    nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:- 64GB storage 4GB ram 6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana 13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu...
  3. Msokwa1

    Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

    Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali. Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...
  4. Msokwa1

    Kijana 26 years natafuta kazi yeyote halali

    Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa. Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo nikajiunga na advance kwa tahasusi ya pcb hapo sikufanya vizuri kwani nilipata division three point 14...
  5. Msokwa1

    HOTELIA ANATAFUTA KAZI

    habari za wakati huu wakuu, kama kichwa cha maada kinavyojieleza nina jamaa yangu jinsia kiume,umri 29 years ana certificate ya tourism and hotel management anaexperience ya kufanya kazi sehemu mbalimbali tanzania bara na visiwani, kwa bara kafanya kazi ARUSHA,MBEYA,BAGAMOYO,NJOMBE na DODOMA...
  6. Msokwa1

    Msaada nataka nunua radio Watts 500, ni bei gani?

    nataka nunua speaker kubwa ya mziki watts 500 brand ya candy. ninaomba kujua bei zake madukani zinaweza kuwaje ili nijiandae
  7. Msokwa1

    Nini kitatokea nikikodi fremu na kuanzisha biashara ya video library bila ya kuwa na leseni ya biashara?

    Ninini kitatokea endapo nikakodi fremu na kuanzisha biashara ya video library bila ya kuwa na leseni ya biashara? what will happen?
  8. Msokwa1

    Nina desktop moja na hp notebook laptop

    Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie...
  9. Msokwa1

    Kufunguliwa kwa Vyuo vikuu na vile vya Kati

    Wakuu naombeni utaratibu wa kufunga na kufunguliwa kwa vyuo mbalimbali vile vya kati na hivi vikuu kwa semester hii baada ya janga la COVID 19 kuharibu utaratibu
  10. Msokwa1

    Nitaweza kwa uwezo wa PC ku-install GTA V

    Pc yangu ni hp pressario CQ56 yenye processor ya pentium dual core T4500 WITH 2.30gh pia ram yake ni Gb 4. Nataka install Gta V, Je nitaweza kwa uwezo huo wa PC yangu?
  11. Msokwa1

    Naomba kujuzwa bei ya simu ya aina ya F2 Tecno mpya

    Habari WanaJamiiForums, Wakuu naomba kujuzwa bei ya Smartphone Tecno F2 mpya Je, dukani inauzwa bei gani?
  12. Msokwa1

    msaada kuhusu uelewa wa koz ya information management

    wajumvi wa jukwaa hili naomba msaada wa mawaidha kuhusu koz ya information managent,nins ndugu yangu kachaguliwa kozi hiyo round ya pili chuo cha tumain campus ya dar es salaam naomba msaada wa kuelewa mambo yafuatayo 1.mahala pa kazi kwa coz hiyo 2.soko la ajira baada ya kuitim 3. kuna option...
  13. Msokwa1

    Msaada namna ya kuanganisha internet kwenye pc kwa kutumia moderm ya 3g

    Nimenunua modem mpya leo kwa ajili ya kuacess internet kwenye pc yangu nimechomeka imeniletea option ya kuinstall program yake vema tu nikifungua program inaonyesha kusoma vizur kabsa kwan majina yalioko kwenye lain yanaonekana vema na piah naweza tuma na kureceive message tatizo liko katika...
  14. Msokwa1

    NAOMBENI MSAADA JAMANI MODERM YANGU INASUMBUA

    Wakuu nashindwa connect mtandao wa internet kwa kutumia hii moderm yangu yaan hii moderm inanishangaza kwa kuwa inasoma laini vizur tu majina message na mtandao unaonyesha kabisa umesoma tatizo linakuja pale napotaka connect internet inakuja feedback kwamba"the list is out of bound -1" nikijarbu...
  15. Msokwa1

    naomba ushaur katika hili wajumvi

    ana point 11 ya hkl kakosa round one ya selection katika vyuo vya mzumbe udsm na udom anataka ushaur wa vyuo na faculty ambazo ni less competence anazoweza apply kwa second round please mpe advice mpen ushaur wakuu ni mdogo wangu huyu
  16. Msokwa1

    MSAADA KATIKA MAOMBI VYUO VIKUU

    wakuu wa jukwaa naombeni msaada wa format ya username kwenye application za vyuo vikuu
  17. Msokwa1

    JE KULINGANA NA USHINDANI ULIOPO NAWEZA PATA DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE KWA VYUO HIVI?

    Nimemaliza four 2015 nikafanikiwa kupata matokeo kama ifuatavyo Physics -C Chemistry-C Biology-B Mathematics-C English-C Literature-C Kiswahili-C History-C Geography-C Civics-C Nikawa na div 2 point 20 je! Kulingana na competition iliyopo naweza pata dip ya course ya clinical medicine kwa vyuo...
  18. Msokwa1

    ADA KWA COARSE YA CLINICAL MEDECINE VYUO VYA SERIKALI

    Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE
  19. Msokwa1

    T.O Elias Kihombo na tishio katika baadhi ya vitabu vyake vya Physics

    Eliasi Kihombo T.O mwaka 2006 na Tishio katika baadhi ya vitabu vya advanced physics katika kurasa ya mwanzo kabisa ameandika kama ifuatavyo:- ""This book contain embedded holograms in some pages that can destroy Completely the LASER of the photocopy machine so don't try to take a copy because...
Back
Top Bottom