Search results

  1. mchumi tumbo

    Nokia 105 kwa 35,000 tu

    Habari wakuu Jipatie Nokia 105 Original kwa bei ya ofa ya Shillingi 35,000 (elfu thelathini na tano tu). Rangi zilizopo ni black na blue. Free delivery kwa DSM Mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja Tuwasiliane kwa nambari 0755089890 Karibuni Sana
  2. mchumi tumbo

    Msaada jinsi ya kudownload microsoft visio

    Wanabodi Msaada jinsi ya kudownload cracked version ya microsoft visio mwaka wowote from 2007 nakuendelea. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  3. mchumi tumbo

    Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

    Habari ya wakati wana MMU. Ni matumaini ya wengi,mimi nikiwa miongoni mwao kuwa maisha yetu ya chuo kikuu tungeweza kupata wenza wetu au vident vya kula navyo bata. Nilisoma kwa juhudi sana O'level na Advance(uboizini) ili nitusue niingie chuo.Story za kitaa ziliongeza shauku yangu ya kutimba...
  4. mchumi tumbo

    Msaada juu ya tatizo hili la laptop

    Monitor ya pc yangu imeweka mistari ya rangi ya kijani iliyosimama wima. Kwa anayejua chanzo cha tatizo na makadario ya gharama za matengenezo msaada tafadhali... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mchumi tumbo

    MSAADA:Simu haidownload apps kutoka play store

    Kama heading inavyojieleza. Mtandao upo vizuri kwani mambo mengine nayafanya vizuri tu ila kudownload app kwenye playstore ndo yawashida inaload tu kwa muda mrefu.Msaada kwa anayefahamu chanzo cha tatizo na jinsiya kurekebisha. Brand: infinix hot 6 X
  6. mchumi tumbo

    Bei ya Infinix hot 6x

    Kwa anayefahamu bei ya hizi simu na wapi naweza kuzipata jijini Dar es salaam. Nashukuru sana
  7. mchumi tumbo

    Dirisha jingine la maombi ya udahili-UDSM

    DIRISHA JINGINE UDSM: CHUO kikuu cha Dar as Salaam kitafungua dirisha jingine la maombi udahili kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Elimu ya juu mwaka huu. Akizungumza katika kipindi cha Jambo kinachorushwa na shirika la Utangazaji Tanzania @tbchabari, Naibu Makamu Mkuu Taaluma, Prof...
  8. mchumi tumbo

    Maombi ya vyuo awamu ya nne

    Hivi awamu ya nne itakuwepo au tuliokosa tujihesabie mwaka huu ishakula kichwa mpaka mwakani?.
  9. mchumi tumbo

    Msaada ndugu zangu nimechanganikiwa hapa

    Wakuu simu yangu iliingia kwenye maji lakini niliiwahi kuitoa na ikaonyesha haina tatizo lolote,sasa hii jioni nimeweka charge haiingizi mpaka niizime na nikichomoa charge yaonyesha bado yaingiza,,,tatizo ni nini na hatua zipi nichukuw Simu ni tecno cx air Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mchumi tumbo

    Utaratibu wa mirathi PSPF msaada

    Kama kichwa kinavyojieleza.Ni mgeni kwenye hilo suala nimeleta jukwaani nipate abc kidogo kwani kuna mdogo wangu anafuatilia mirathi yake.Ni ya muda mrefu kidogo kwani msimamizi wao alikuwa sio mfuatiriaji na kwa sasa ilipofikia ni wanasema ipo kwenye foleni ya kuandikiwa cheque.Naomba kujua...
  11. mchumi tumbo

    Nimejisikia kumgiftisha shemeji/wifi yenu

    Kama kichwa kinavyojieleza,nimefikiria kumfanyia suprise ya hand hair dryer maana napenda nywele zake.Kwa yeyote anayejua bei na sehemu ambapo naweza pata hii kitu kwa dar-es-salaam naomba anijuze nimfanye huyu kiumbe afurahi kidogo.
  12. mchumi tumbo

    Msaada port haifanyi kazi..

    Habari za wakati huu ndugu. Pc yangu hp(celetron) USB-port moja haifanyi kazi ya upande wa kulia ambayo ipo peke yake. Ukiconnect devices inakuambia not recorgnised lakini yapitisha power.Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili. Karibu
  13. mchumi tumbo

    Miwasho sehemu za siri

    Habari ya wakati huu. Nina mwenza wangu (KE) anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa ukeni(pembeni mwa uke kwa nje). Tumeenda hospitali mara kadhaa lakina tatizo limekuwa likijirudia rudia tu. Naleta kwenu kwa ambaye anafahamu chanzo cha tatizo, tiba na ushauri asisite kutoa maana hili tatizo...
  14. mchumi tumbo

    Laptop haiwaki msaada please

    Laptop yangu HP probook 6360b ilizima ili Hali battery ikiwa full charged na nilipojaribu kuiwasha tena imeshindikana. Nilijaribu connect kwenye umeme but still haikuwaka. Nimepeleka Kwa fundi kaniambia PC ina vumbi na processor imekufa,bei ya processor 30k. Kwa yoyote mwenye uelewa wa hili...
  15. mchumi tumbo

    Huyu binti simuelewi, anajirahisisha sana

    Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku. Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa kisayansi nimebaini anakaa peke yake. Sasa nimekuwa nikimdokeza kuwa nikienda itabidi nile chakula...
  16. mchumi tumbo

    Huu utaratibu wa ku-retake DIT unajenga au unamkomoa mwanafunzi?.

    Habari ya wakati huu. Kuna huu utaratibu wa DIT wa kuretake somo kwa wale watu wa diploma.Kuretake somo kunatokea endapo utashindwa kufikisha coursework/course assessment(CA) ya somo husika.Kuretake somo means unarudia kulisoma lile somo uliloshindwa kufikisha CA mwaka unaofuata huku ukikariri...
  17. mchumi tumbo

    Kwa wazoefu wa safari ya Songea-Dar

    Nataka kusafiri kwenda Songea siku chache zijazo.Niliwahi kusafiri Songea miaka ya 2009-10 enzi hizo Ottawa High Class ipo kwenye chat na tulikuwa twatumia njia ya makambako. Sasa hivi nasikia kuna gari nyingi zinaenda na zipo zinazopitia Lindi na nyingine Makambako. Kwa yeyote mwenye ufahamu...
  18. mchumi tumbo

    Hongereni Taifa Stars Hongereni Watanzania

    Hongereni vijana wa Taifa stars hakika leo tumeonyesha soka murua kabisa.Kile kipigo cha algeria lilikuwa somo zuri kwetu.Mpira tumecheza na matokeo tumepata.Taifa stars Wawa Watanzania leo hamasa kubwa tumeiomyesha na tumeamsha hari za vijana wetu,Tumeonyesha kweli mashabiki ni wachezaji wa 12...
  19. mchumi tumbo

    Hizi biashara kwenye ugawaji wa dawa mtatuua wenzenu

    Habari ya wakati huu ndugu zangu. Hili suala la mtu kulundikiwa dawa ukienda hospitali hasahasa sisi wa bima ni kwamba madaktari mnataka tupone kwa haraka au limekaa kibiashara zaidi.Niliwahi kwenda hospitali nilipewa dawa kama aina 3 hivi na zote ni antibiotics sijajua ni kubahatisha au ili...
  20. mchumi tumbo

    Anataka kutest kizazi

    Huyu mgonjwa wangu kila baada ya sex---(Anaumwa after sex,nini tatizo.) Kaniharibia weekend ipasavyo anadai nimpe ujauzito ili atest kizazi kama kipo vizuri au kina hitilafu.Hii betting nimeshindwa kuifanya kwani sipo tayari kuitwa baba kwa sasa na yeye ameng'ang'ana anataka kutest mitambo...
Back
Top Bottom