Search results

  1. mchumi tumbo

    Usiporipoti kituo cha kazi, unaweza kuomba tena ajira hiyo hiyo?

    Nenda tu mkuu kama unauhitaji na hiyo ajira, kama una alternative nyingine bora zaidi unaweza kumute at your own risk. Ila si uliomba mwenyewe?. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  2. mchumi tumbo

    Nifanye nini ili niweze kupata kipato cha ziada nimudu gharama za masomo?

    Picha yako haikuwa na umuhimu wowote hapo. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  3. mchumi tumbo

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Kamati ya Dharura yaundwa kuchunguza Samaki wanaodaiwa kufa kwa Sumu

    Hii ni mbaya sana, uchunguzi wa kina ufanyike. Recovery period sijui itakuwa muda gani mpaka shughuli za kawaida ziendelee kwenye huo mto. Huu mgodi si wamejenga water treatment plant ya drainage za mgodini sio muda mrefu. How can this happen, baada ya project kubwa kama ile. Ngoja tusubiri...
  4. mchumi tumbo

    Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    Nileteeni Kisinda, nileteeni Kisinda, nileteeni Kisinda.
  5. mchumi tumbo

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kumhamisha mwanafunzi wa Form 1

    Tena matokeo ya mwaka huu, prem number ipo kwenye matokeo tu haina haja yakuomba shule. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  6. mchumi tumbo

    Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

    Leta vifungu vya sheria mkuu, sio blah blah hzo. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  7. mchumi tumbo

    Usiombe kukutana na Nsia Swai

    Kwanini utumwe groves halafu ukatae?. Hivi Dr. hapo ulimaanisha groves kweli?. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  8. mchumi tumbo

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  9. mchumi tumbo

    Coastal Union 0-2 Yanga SC | Mkwakwani-Tanga | Ligi kuu Tanzania Bara

    Huyu moloko angeanza kusugua benchi kidogo akili imkae sawa. Amepoteza sana umakini Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  10. mchumi tumbo

    Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Kuna hospitali wanaitwa wauguzi wanaulizwa mbn dawa hizi na hizi hamziandiki zimejaa store tu. Kuna siku et jamaa kaandikisha cheti wanapigiana simu huyo anapesa fanya kweli. Hivi hii ethic kweli?. Mtu unaenda unasema unaumwa kifua unaambiwa upime UTI na Malaria, hujasema unaumwa kichwa wala...
  11. mchumi tumbo

    Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Naifahamu. Kuan situation hicho kitu hakihitajiki na hizo dawa zinatolewa ili mradi tu. Binafsi sio professional yangu hiyo but nimezungukwa na watu wa kwenye hiyo kada. Dawa nyingi zinatolewa kwa business na sio ukubwa wa tatizo. Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
  12. mchumi tumbo

    Hospitali zituheshimu wateja, mnatuibia sana

    Halafu kuna hii tabia ya kurundikiana dawa, unakuta unapewa pain killer aina mbili tofauti, antibiotics aina tatu tofauti na dawa ya malaria hapo unaumwa malaria tu. Wengine wanakucharge dawa za wiki halafu ukienda pharmacy unapewa dawa za siku tatu tu. Nilishapotezaga imani na hizi zahanati...
  13. mchumi tumbo

    Kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikowani: Mamlaka zinazohusika zimeridhia?

    Hii serikali sasa hivi inaigiza upofu, kila mtu anajifanyia analoona sahihi kwake. Sasa hivi watu wanaokatisha ticket wamekuwa na viburi sana yaani sehemu nauli 29k wanakuambia 35k kama hutaki kulipa hiyo hupewi ticket. Na kwenye ticket wanakuandikia 29k ili hali wao wanataka uwalipe 35k. Latra...
  14. mchumi tumbo

    Inakuwaje mshindi wa kwanza BSS apewe 20M halafu mshindi wa pili 2M na wa tatu 1M?

    Huwaga hawapewi zote, hapi atapewa 3-5M, halafu nyingine wanasema watazitumia kwenye kukuza kipaji chake. Basi story inaisha hvyo. Kuna mshindi mmoja nafahamiana naye yalimkuta hayo
  15. mchumi tumbo

    Tecno Comon Cx

    Brother are you Mtanzania or Foreigner?. Kama mtanzania mwenzangu vyema ungeandika kiswahili, ungeeleweka vizuri zaidi.
  16. mchumi tumbo

    Yu wapi Hawa Ghasia? Mwanamke mwenye tashtiti kama zote

    Ile kauli yake ya kuwa siku hizi haloweshi k*** yake kwenda kuchokoa baharini, hadi kesho inaniacha hoi.
  17. mchumi tumbo

    Hakuna Mbunge anayezungumzia vitu kupanda bei, tujifunze wapinzani ni muhimu

    Hv nauli zimeongezeka Tanzania nzima au mkoa wa Mtwara tu?.
  18. mchumi tumbo

    Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Kuwa mstaarabu mzee, sasa hayo ya msukule yametoka wapi?. Mbona hamna nilipotumia offensive word yeyote kwenye maneno yangu?. Anyway, kama ulicheck mpira nadhani tukio uliliona.
Back
Top Bottom