Search results

  1. Aman peaceful

    Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

    na hiv vimvua et kuruka kimtaro tu mpaka wabebane kaah!!!
  2. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    kuna huu ukwel mkuu! nature alkuwa mtt wa nyumban asee
  3. Aman peaceful

    Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

    hongera Mtabiri yaan ile kweny kochi tu ubingwa huu hapa!!! ya mbeya yanafurahisha!! #ssc
  4. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    kamua babaa kamuaaa hahaa hatariii sana mkuu
  5. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hakika mkuu ..wengine watasubir sanaaaaaa
  6. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hakika Mkuu! Mungu awabariki sana kwa Alama muhimu walioiacha.
  7. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    hahaa kuna ukwel hapo mkuu?!
  8. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Hakika mkuu! Produza wa sasa wana mengi ya kujifunza kutoka kwake coz yeye alikuwa ni full kipaji! naskia msanii kurekod bongo recorz enzi hizo lazima uwe umejipanga haswa! ukizngua tu ni mitusi toka kwa P!
  9. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Kiufupi ilikuwa ni kutoka nae kimwil mkuu! Hakika kipaji chake cha muziki ni kitu cha kujivunia sana mkuu
  10. Aman peaceful

    Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

    Wasaalamu WanaJf popote mlipo..! Nimeona ni bora leo tukaukumbuka ufalme wa Prodyuza mkali bongo na East Africa kwa ujumla ndugu Paul Majani! Ukiachilia mbali Kipaji chake cha kutengeneza midundo mikali ya wasanii mbalimbali, P majani anafahamika pia kwa Ukorofi wake hasa ukimzingua! rejea...
  11. Aman peaceful

    Mrejesho: Mwalimu niko Uingereza napiga kazi

    hii fursa ntairudia siku moja! shukran kaka!
  12. Aman peaceful

    Mrejesho: Mwalimu niko Uingereza napiga kazi

    bravo ngosha! ktambo sana naifatilia hii thread! thanks kwa elimu pia ulotupatia ya huko ulimwengu wa kwanza!
  13. Aman peaceful

    DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

    kule utemin ..watoto wawil wa chief senge nadhan nao ni mbegu ya wanefili!!!!
  14. Aman peaceful

    Huyu Nandy jamani, amenipa hamu ya kuoa..!

    labda ile pink ndo imekutia hamu wa kujiajiri mwenzang
  15. Aman peaceful

    Ulianzaje Kushabikia Timu unayoipenda ..Mimi nilianza hivi..!

    Ee bwanaa kwa EPL ..AFC ndo kila kitu yan mwanzon miaka ya 2000 kila nkifungua tv naona tu Henry anashangiliaaaa yan ile va vaa vuuuuum...nikaona enheee ze gunnerz ndo chama kubwa mpk kesho! Huku bongo ..enzi hizo Kweny redio kweny miak ya 2000 kila ukifungulia tuuu ni Simba! Simba! so...
Back
Top Bottom