Search results

  1. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Ni vitu ambavyo huwezi ingia navyo kwenye hand luggage.
  2. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Comments za watu acha tu. Ila nilipo complain kwa kutuma email niliweka hivyo vitu kama boarding pass, ikiwa na info zote. No one even tried to acknoledge hata kwa automatic email kuwa wamepokea. No.
  3. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Sidhani kama wana hiyo customer care. Nilipogundua nikatafuta contact za wahusika. Nikawatumia email, flight number na boarding pass. Hamna aliye respond ndio nikaamua nije huku kuweka awareness asiibiwe mwingine kama nilivyoibiwa.
  4. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Nili report kuna email za wahusika. Hamna anayejali hata ku acknoledge tu.
  5. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Its a learning curve, kutokuweka vitu vya thamani. Nilifunga kabisa na box, then mifuko ya Magufuli Dah jamaa still kaotea. Hatari sana.
  6. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Si show off. Wanaudhi, siku wakimwibia mzungu itaenda kwenye travel agency.
  7. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    IQ ndogo. Sasa mimi niliyeibiwa ni raia wa wapi? Huenda hujawahi panda ndege wewe. Mimi naweka awareness kwa watumiaji wa ile terminal.
  8. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Kuna wezi pale ukiweka vitu vya thamani una risk.
  9. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Sasa kama naweza kupanda ndege bado unazungumzia chakula? Inaonyesha either you are not serious or your IQ haipo sawa. Chakula unazungumzia ni cheaper kuliko fueliliyonipeleka Airport.
  10. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Nirudi kuangalia Kamera are you real?
  11. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Sijui kama unajua unachoandika. Nitoke huku nilipo kwenda kuangalia cctv? Unajua how to access cctv siyo kama unavyofikiria. Inaonyesha upeo wako ukoje either mkubwa sana au otherwise. Ni sensible ukiacha ku comment kuliko ulivyo comment.
  12. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Sidhani kuandika kitu kama hiki cha uongo nanufaika na nini. Najua sitavipata fine lengo langu kuweka awareness kwa wasafiri wengine kuwa pale si salama. Kama nadanganya wa track begi langu nimeli identify.
  13. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Zipu huwa kuna kitu wanafanya as mzigo wangu uikuwa oversize ilibidi staff aondoke nao kwenye trolley haukuwekwa kwenye conveyor belt.
  14. K

    Nimeibiwa vitu vyangu Uwanja wa Julias Kambarage Terminal 3

    Nimetumia huu uwanja Tar 28.03.2024 nikienda Qatar. Nafika Qatar mashine yangu ya Pressure na perfume havimo kwenye bag ambalo nili check in. Aibu sana kwa Kweli.
  15. K

    Yanayojiri Majeshi ya Tanzania dhidi ya M23 nchini DRC

    Pia majeshi hutumia silaha za zamani kama ilivyo Russia kutumia silaha za kipindi cha Soviet Union.
  16. K

    Ni dhahiri kuwa Rais hatamwacha Waziri Mkuu Majaliwa zaidi ya 2023

    Ukimsikiliza Majaliwa kuhusu sakata la upatikanaji wa DP World alionekana hajui analolijua maana alisema walienda kwenye maonyesho ndio wakamkuta huyu DP World kuwa anaweza kufanya kazi. Wakati mama alienda Dubai amejipanga kabisa kwenda kusaini mikataba. Kwenye sakata la Ndugai Majaliwa...
Back
Top Bottom