Search results

  1. C

    Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

    Ukweli utabaki kuwa ukweli tuu hata kama watauficha.
  2. C

    Dr. Stephen Ulimboka alivyopokelewa Dar akitokea Afrika Kusini

    Kamasiku yako haijafika ni haijafika tuuuuuuuu.......karibu nyumbani Ulimboka.
  3. C

    Mafuta ya ubuyu:

    Naomba msaada kwa wataalamu wetu wa afya, hivi ni kweli haya mafuta ya ubuyu yanasaidia kuponyesha ulcers na pia yanasaidia kupunguza weight???? nashindwa kuelewa kwa sababu iweje mafuta yasaidie kupunguza mafuta myenzie mwilini??????Nisaidieni jamani maana nina Ulcers na ni mnene pia.
  4. C

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Siri ya mtungi aijuaye kata.....Hata tukijadili vipi ukweli wanaujua madaktari na serikali tuwaacheni wapambane wenyenwe at the end of time ukweli utajitenga toka kwa uongo.
  5. C

    Cbe-dodoma kuongozwa na raisi toka diploma first year.

    Kwa mara ya kwanza tangu chuo hiki kianzishwe amepatikana raisi toka diploma mwaka wa kwanza ambaye amejinyakulia kura nyingi toka kwa diploma wenzake na kuwabwaga wagombea wenza wawili wanaotoka bachelor degree second year....
  6. C

    Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

    Si umuoe fasta awe ktk himaya yako?
  7. C

    UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Tusiojua sheria kiundani ngoja tuwe wasikilizaji.
  8. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Hivi nyie sina mna vizazi?? Zaeni na nyie muone utamu na uchungu wa kulea, tena ukute mmezaa mashoga sasa sijui tuwalaumu au? Kwa umaskini tulionao bongo mtoto anaigiza analipwa nimkataze ili tulale njaa au? La msingi ni kumfundisha na kumkanya asipofata ushauri basi unamuombea na kubaki kuumia...
  9. C

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Duuuu sasa kitunguu swaumu nakilaje?? Yaani punje moja au kitunguu kizima??
  10. C

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Huyu mbunge anaitwa matebuli au nani jamani naomba mnisahihishe... Huyu aliyepigwa mapanga...ndio anatoa ushuhuda hapa jinsi walivyodundwa.
  11. C

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Baada ya bunge mheshimiwa mbowe amesema kambi inahamia mwanza kwenda kuandamana hadi waliohusika na kuwapiga mapanga wabunge wa chadema wapelekwe mbele ya sheria....
  12. C

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Lema hayupo, Mnyika kaongelea kuhusu katiba mpya, Mlacha wa Udom naye kaumbuliwa leo chadema inataka ripoti ya CAG KUHUSUmatumizi na mapato ya udom la sivyo wataiweka wazi maana wanayo tayari.... Saivi tunapewa habari juu ya wabunge wa chadema jinsi walivyopigwa mapanga na waliomba msaada toka...
  13. C

    CHADEMA yateka Dodoma

    Mlacha wa Udom kaumbuliwa leo hapa dodoma na chadmea..jamani najaribu ku-upload picha inagoma khaaaa....ila panahappen ile mbaya.
  14. C

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Mnyika anamwaga sera za kutosha hapa.
  15. C

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma leo...

    Jamani mie niko ndani ya uwanja wa jamhuri na mkutano ushaanza, tuko na zitto kabwe, joshua nassari na wabunge wingine...... Nassari kasindikizwa na madiwani wa arusha....
  16. C

    Bungeni leo: Martha Mlata; Kanumba alitakiwa awe na Bodigadi na hakustaili kuishi Sinza

    Hata haya haoni na umama wote ule anadiriki kutamka pumba hizo?? Kwahiyo bodyguard angeingia hadi chumbani kumlinda kanumba akiwa faragha na madem zake.
  17. C

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Naomba ushauri wa kisayansi hapa, kama miaka mitatu iliyopita niliumwa UTI ikaambatana na muwasho ukeni lakini nikapewa dawa za kunywa na ya kupaka inaitwa DAKTARIN nikapona...lakini tangu siku hiyo muwasho umekuwa ukijirudia na kuondoka pindi nikiipaka daktarin na wakati mwingine nikijiangalia...
Back
Top Bottom