Search results

  1. Full charge

    Msaada kuhusu Bulb camera

    Habari wadau, Nataka kununua hizi camera zenye muonekano wa bulb (taa) ili nizitumie kama CCTV kwaajili ya ulinzi nyumbani kwangu na eneo la biashara. Naombeni ushauri wadau kuhusu ubora,uimara na ufanisi wake maana najua wapo watu humu mmetumia na mnazijua vizuri.Nitangulize shukurani[emoji120]
  2. Full charge

    Wahudumu wa baa, hotel acheni kubana chenji za wateja hata kama ndogo

    Rudisheni chenji hata kama ni 10, kiukweli nakereka sana na wahudumu wa baa wasiorudisha chenji baada ya huduma. Tambueni kwamba pesa haigawiwi bali hutafutwa tena kwa jasho, acheni kulazimisha mtu awaachie chenji kwani mtu hutumia pesa zake kwa mahesabu. Siyo kila mteja anababaika na nyie...
  3. Full charge

    Kwanini Dar es Salaam siyo Pwani? Nini maana ya Pwani?

    Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
  4. Full charge

    Wanaume wenye familia tujitafakari sana, tuwe na huruma kwa familia zetu

    Unakuta jamaa yuko Baa anakula vyakula na vinywaji vya gharama huku nyumbani hajaacha kitu au kaacha pesa ya low food. Wanaume tuwe na huruma na familia zetu, how comes unatumia 50k+ afu home umeacha 5k tangu asubuhi hadi usiku unataka imalize mchezo? Si kama unakatazwa kuburudika au kutumia...
  5. Full charge

    Video za ngono na wasanii ni ndugu?

    Habari wadau, kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri? Je, serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay naye katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi. Hivi watu kama: Aslay, Gigy, Uwoya...
  6. Full charge

    Hivi Marekani hutoa msaada pande zote yaani Israel na Palestina?

    Habari wakuu,mimi si mwanasiasa wala mchambuzi wa masuala ya kimataifa bali tu nataka kufahamu. Naomba kuuliza kuhusu utoaji wa misaada ya kiutu kati ya Palestina na Israel ambayo hutolewa na umoja wa mataifa au taasisi zenye dhamana ya kufanya hivyo. Je msaada huu hupewa wana wa Israel pekee...
  7. Full charge

    Queen Darleen katupwa au?

    Habari zenu wapenzi na wafuatilia muziki wa Tanzania na mashabiki kwa ujumla. Hivi lebo ya WCB mbona kama imemtelekeza msanii wake (Queen darleen)? Awali alikuwa akifanya nao kazi na bila shaka alikuwa na mkataba hai tukiachana na suala la kuwa ndungu wa Nassibu Abduli Nyange. Je sababu ya...
  8. Full charge

    Hizi ni baadhi ya sifa za watoto wa 2000

    Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+ Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s kushuka chini. Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana...
  9. Full charge

    Hivi kula nguruwe ndiyo dhambi kuu?

    Habari za muda huu waungwana, Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama: Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu? Je dhambi kama...
  10. Full charge

    Nimeielewa Samsung Filp z 3 vipi ninunue?

    Hii simu nimeielewa ile mbaya ila siijui kiundani naombeni msaada wenu mnaozitumia hizi au mliowahi kutumia. Please, toa kasoro kwa kuonesha experience uliyonayo siyo ya kusikia au kuhisi.(uwe umetumia au unatumia)[emoji120]
  11. Full charge

    Tunaotumia Mysol tujuane hapa

    Habari za jumapili hii wakuu,Huu ni mwaka wa pili naelekea kumaliza deni la mysol. Binafsi niliamua kununua mtambo huu baada ya changamoto ya umeme wakati huo nahamia kwenye kibanda changu. Lengo la uzi huu ni kubadilishana uzoefu juu ya mitamboo hii,moja ya vitu ambavyo naona wamefaulu hawa...
  12. Full charge

    Msaada: Puty gani nzuri kwa ajili ya ukuta

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Aina gani au kampuni gani ya puty kwaajili ya ukuta,nimeona makampuni mengi ikiwemo jk wall puty ila yanabanduka haraka na rangi yake. Je, naweza kupata puty nzuri ambayo ni ya kuaminika lakini pia naweza kujua bei yake na warranty ya kudumu kwenye...
  13. Full charge

    Je, Wamasai ni watu wa kipekee au?

    Staki niwachoshe,wakubwa kuna maswali mengi yananisumbua sana kuhusu kabila la wamasai japo siwajui kiundani. Wajuvi naomba mnisaidie undani wa kabila hili la wamasai,baadhi ya mambo yanayonishangaza zaidi ni: 1. Je wamasai wa kule ndani ndani nao huchanjwa kama sisi,kama jibu ni hapana sasa...
  14. Full charge

    Msaada: Nawezaje kujua taarifa ya figo zangu?

    Nisipoteze muda, nawezaje kupata taarifa ya figo zangu kabla majanga hayajanikuta ukizingatia mimi naishi maisha ambayo siwezi kumudu hospitali ya zaidi ya laki moja (sina uwezo kifedha)? Nikiangalia hizi maabara zetu nyingi huongozwa na vijana walioshindwa kuendelea na masomo, yaani wengi wao...
  15. Full charge

    Msaada: Ipi main switch bora kati ya Tronic & Havels?

    Habari za muda huu wakuu,niingie kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyouliza hapo juu. Wakuu nimefanikiwa kujenga kibanda cha kujiegesha sasa nataka kufanya wireling, natafuta main switch iliyo bora zaidi. Kwa maelezo ya wataalamu wa hizo kazi yanakinzana,wapo wanaoamini zaidi Havels...
  16. Full charge

    Kipi ni Kishwahili fasaha hapa?

    Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi: Onyesha-onesha Kaka wake-kakaake Hajala-hajakula Hajaja-hajakuja NB: Nimesahau maneno mengine tafadhali unaweza kuongeza maneno mengine[emoji120]
  17. Full charge

    Je, maziwa ya mama huharibu dawa?

    Watalamu wa hizi kazi msaada tafadhali. Nimekuwa nikijiuliza swali hili muda mwingi sana ila sipati jibu. Imekuwa ni kawaida mtu kukatazwa kunywa maziwa pale tu pindi amezapo dawa kwakuwa huaminika kuwa maziwa huharibu dawa. Sasa swali langu ni je,mtoto anaenyonya akipewa dawa hairuhusiwi...
  18. Full charge

    Msaada: Nataka kubadili jina kisheria (NIDA)

    Habari za muda huu wakuu, Mimi ni Mkristo, nimeamua kubadili dini kuwa muislam kwa hiari yangu kabisa bila msukumo wowote. Nimebadili jina langu la awali hivyo ningependa kubadili pia katika nyaraka zangu za kiserikali ikiwemo kitambulisho cha taifa (NIDA). Je, ni utaratibu gani nifuate ili...
  19. Full charge

    Je, mafuta ya kondomu ni salama?

    Peleni wakubwa zangu kwa majukumu. Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu sasa kuhusu usalama wa kiafya wa yale mafuta ya kondomu. Watalam wanawaasa watu (wanawake) wasiingize kitu chochote katika uke wakati wa kujisafisha, mfano: Sabuni,mafuta nk. Je, vipi kuhusu yale mafuta ya...
  20. Full charge

    Maziwa ya mama huharibu dawa?

    Habari wakuu,naomba nisiwachoshe. Hivi maziwa ya mama nanaweza kuathiri ufanisi/utendaji kazi wa dawa kwa mtoto? Yaani kama tunavoshauriwa kuwa hutakiwi kunywa maziwa pale tu punde umalizapo kumeza/kunywa dawa[emoji120]
Back
Top Bottom