Search results

  1. M

    Wizi wa Airtel

    Jana usiku majira ya saa nne niliweka muda wa maongezi wa sh.4,000/= kisha nikanunua kifurushi cha intanet cha MB400 kwa sh2500. Nikaperuziperuzi kwenye intanet kwa muda wa nusu saa pasipo ku-download kitu chochote. Leo asubuhi nikaperuz tena kwa muda wa kama wa kama lisaa limoja na baada ya...
  2. M

    mwenye kujua 'flash code' ya Nokia E61i.

    naomba yeyote humu ndani anayefahamu flash code ya Nokia E61i anisaidie!
  3. M

    Mchakato wa katiba mpya na vipindi vya Tbc1

    Ni juzi tu niliwasikia wabunge wa CCM wakiishambulia ITV kwa madai kuwa inafanya uchochezi kwa kurusha vipindi vya makongamano yanayopotosha wananchi yanayohusu upatikanaji wa katiba mpya. Na walienda mbali zaidi kwa kuisifia TBC1 kuwa imekuwa na vipindi vizuri sana....! Leo jioni hapa nyumbani...
  4. M

    Pongezi kwa jeshi la Polisi

    Hivi majuzi mfanyabiashara mmoja mwenye asili ya kichina hapa Tanzania aliuawa na majambazi na kuporwa kiasi fulani cha fedha! Askari polisi walifanya msako na baada ya siku chache wakafanikiwa kuwatia mbaroni watu wanaodhaniwa kufanya mauaji hayo! Pongezi kwa jeshi la polisi! swali langu...
  5. M

    Hii si ni aibu jamani?!!!

    Serikali ya Japani imetoa msaada wa Tsh713m kwa Tz kwa ajili ya miradi ya maendeleo!<br /> My takeTanzania yetu sio ya kupewa msaada wa namna hiyo! source: chanel ten-habari
  6. M

    Season 2 ya wizara ya nishati na madini....!

    Ndugu wana JF nimepata tetesi kutoka kwa mtu aliye karibu na wizara ya nishati na madini kuwa ile 'tamthilia' ya akina 'JAH HERO' itaendelea kama ifuatavyo; Vasco da Gamma ana mpango kuwabadilsha Ngeleja na Malima(haieleweki kama anawapiga chin au anawapeleka wizara nyingine), halafu Jah Hero...
  7. M

    Hebu tukumbushane kidogo basi!

    Hivi unakumbuka kipindi kile ukiwa bado mtoto siku za sikukuu kama vile Eid, Xmas na Pasaka ukishakula pilau yako na kuvaa nguo mpya mchana ulikuwa unaenda kutembea wapi? Wale waliokulia dar wengi wao walikuwa wanaenda MANZESE DARAJANI kupiga picha kama sio kushangaa tu! Na kama sio manzese basi...
  8. M

    Mungu huwa anakuwa upande gani?

    Ndugu wanaJF, nimejaribu kujiuliza hili swali ila sikupata majibu kabisa! 'HIVI MUNGU HUWA ANAKUWA UPANDE GANI IKITOKEA UPANDE MMOJA UNADHULUMU NA MWINGINE UNADAI HAKI? Kama anakuwa upande wa haki, ni kwanini basi upande wa dhuluma huwa unashinda? Na kama anakuwa upande wa dhuluma, ni kwanin...
  9. M

    Wapi filamu ya mapanki?

    Naomba kwa yeyote mwenye kopi ya 'filamu ya mapanki' ijulikanayo kama DARWINS NIGHTMARE anipatie na mimi nitoe kopi ili niiangalie, sijawahi kuiona....!
  10. M

    Kwanini malipo ya DSTV ni kwa $(US Dollar)

    Nimejaribu kujiuliza kwanini malipo ya kituo cha matangazo ya television cha DSTV yanafanywa kwa dollar! Ina maana hata wao(dstv) wanalipa kodi kwa USD? Kwa kifupi ni kwamba hawa jamaa bei zao zinapanda kwa kila dakika ipitayo! Pamoja na kwamba dollar huwa inashuka lakini kushuka kwake huwa ni...
  11. M

    Itakuwaje kwa hawa jamaa?

    Hivi 2015 cdm ikichukua nchi hawa magamba wataishi maisha gani? Mimi nadhani wataikimbia nchi....!
  12. M

    Jaman ma-lecturer IFM mna matatizo gani?

    Pamoja na uduni wake(IFM) katika suala la management, kuna suala moja linanikera zaidi! Na hili ni kuhusu ma-lecturer wa hapa IFM,yaan wamekuwa mabingwa wa ngono! Wanawarubuni dada zetu kwa madai ya kuwasaidia kielimu au saa nyingine kwa vitisho vya kuwafelisha! Na mtu anayeongoza kwa madhambi...
Back
Top Bottom