Search results

  1. M

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Jamani maana ya Pm ni nini? Nitaku pmje? Msaada tafadhari
  2. M

    Msaada wa soko la asali

    NATAFUTA SOKO LA ASALI ya nyuki wakubwa kwa wadogo JIJINI DAR ES SALAAM NA MJINI MOROGORO. Kwa yeyote anayefahamu wanunuzi wa asali ktk miji hiyo naomba wanisaidia kujua ni nani wanunuzi na wanapatikana wapi na wananunua kwa bei gani. ASANTENI
  3. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    alikua peke yake hakukuwa na ndugu mwingine labda walienda kwa mwenyekiti wa kijiji.
  4. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    kaka nasikia kidogo basi kunamzee aliwauzia kwa laki tatu. Tuungane watanzania kupinga hii aina ya ujambazi leo mama yangu kesho wazazi wako, watoto wako ukiwa umekufa huu ndio muda muhafaka wa kupigana vita hii.
  5. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Bary nasubili kwa hamu ushauri wako nachotaka kufanya sio kutafuta haki kwa mama yangu tu nitahakikisha nalitangaza tatizo na kuwa haibisha hawa matapeli. Naomba mungu anitangulie na kunilinda.
  6. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Hofu yangu sio madhara ya mnara kwani anaishi mbali na kiwanja hicho. Hofu yangu ipo kwenye utapeli ambao naona wa makusudi kwamba kuna watu ktk kampuni la simu husika wanajua kwamba eneo hili tutajenga mnara wanatangulia kumrubuni mmiliki mapema kwa kununua eneo kwa gharama ndogo sana baada ya...
  7. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Tatizo elimu, mama yangu darasa la saba enzi za mwalimu ngoja nitamuuliza kama hata mkataba wa mauziano anao.
  8. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Eneo lipo kilombero kijiji cha mkamba B, kata ya kidatu, mkoa morogoro.
  9. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Nawasiwasi kuwa kuna matapeli ktk timu zinazotafuta maeneo ya kuweka minara kiasi kwamba wakijua wapi wanatakiwa waweke huo mnara wanaanza kuimiliki ardhi wao. Walisema mbele ya mashahidi kuwa watajenga ofisi ila wakajenga mnara baadaye, ninachojua kuwa hii tabia hawajaanzia kwa mama yangu...
  10. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Nilikuwa shule, ila mama zetu vijijin hawana mtu wa wasaidia wamemdanganya mama yangu sasa yupo hoi kwa masononeko, nataman nijue how ya kudili na hawa matapeli nakosa usingizi kabisa mpaka nitakapofanya chochote nia ninayo ila sijui sheria na walichofanya ndio ile mikataba ya mangungo.
  11. M

    Naomba msaada wa mawazo (kisheria) ktk hili lifuatalo

    Nina mama yangu kijijini ambaye alikuwa na ardhi yake nusu heka sasa ikatokea tetesi kwamba tigo wanataka jenga mnara pale, baada ya muda kwel wakaja jamaa ila wakasema wanataka ile ardh kwa ajili ya kujengea ofisi mama akawaambia nasikia mnajenga mnara na mm nitawauzia kama wajenga mnara...
Back
Top Bottom