Search results

  1. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Mkuu inategemea na ujazo wa Mtungi kwan hujasoma uzi comrade?
  2. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Wapigie Simu watakupa elimu
  3. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Imeandikwa hapo kuna Warranty So chochote kimeleta changamoto unafika tu ofisini kwao
  4. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Piga 112 waulize watakupa ufafanuzi zaidi...
  5. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Mwanzo kabisa wa uzi nimeandika kuwa nimecopy na kupaste...
  6. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Mkuu mm ni mtumiaji tu sina elimu yoyote na uinjinia mm ni mkulima nimefunga kamtungi kangu naenjoy sasa kama una maswali zaidi fanya kuwapigia nimefanya kushare tu....sharing is caring
  7. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Unafikiri Chuo cha Usafirishaji Tanzania(NIT) Na wahandisi wake wote na Mamlaka husika zote hazijafanya uchunguzi kuhusu usalama wa mtumiaji? na juzi Waziri Jaffo kupitia Azam media ametoa tamko na sheria zimetungwa kuhusu CNG huduma inatolewa na wahandisi wa NIT na inatolewa pale chuoni NIT...
  8. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Hii gas ni baridi mno hailipuki na pia kama kulipuka ungeanza kuhofia petrol [emoji618] maana ndio hatari zaidi hasa pale tank linapopasuka...
  9. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Wapigie simu namba zao zipo kwenye thread watakufahamisha zaidi
  10. protogonist

    Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Nimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste), Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95] Kg 15 inatembea km 230 Kg 11 unatembea km 180 Kg 9 inatembea km 120 Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako. Ukifunga gas...
  11. protogonist

    Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

    Mke ni chanzo cha Umaskini pia ni kikwazo cha maendeleo, ndoa zimekuwa miradi wacha kupotosha watu Tafuta pesa ishi vizuri mtoe mama yako uswahilini mpeleke ushuani fanya wazazi wako wajivunie uwepo wako. Watoto wa kutosha bila kusahau premarital agreement, Mwanaume halisi anafanya hivyo, sasa...
  12. protogonist

    Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

    Scary a*$ nigga ukimkandia au usimkandie it's up to you ila statistics zinaongea
  13. protogonist

    Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

    Natural born leader
  14. protogonist

    Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    Zodiac sign yake ni ipi bila shaka ni Gemini [emoji751] huyo
  15. protogonist

    Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

    Nikumbushe hv ameuza record ngapi vile huyo notorious BIG na jumla ana nyimbo ngapi...movie je anazo ngp vile nikumbushe tu....Tuzo je? Vp kuhusu ile museum ya Tupac Wake me when I'm free na vp kuhusu ile siku inayoazimishwa ya 2pac
Back
Top Bottom