Search results

  1. elmagnifico

    Zitto ataiua ACT-Wazalendo

    Umesema ukweli mkuu. Chadema walisema msaliti akafukuzwa ila mpaka leo bado wanamuandama wakati alianzisha chama chake.
  2. elmagnifico

    Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

    Kwakweli hakuna mwenye nguvu zaidi ya mwenyekiti wamemwacha tu arukeruke kama maharage aive
  3. elmagnifico

    INAUZWA Vifaa vya studio vinauzwa

    Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake. Au kamata vyote kwa 500000 Vinapatikana bunju B. 0677508568
  4. elmagnifico

    Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    Wapo wengi mkuu akina mwamposa 🤣🤣
  5. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Hilo ndilo nilimaanisha ndiyo maana nimetumia neno biashara
  6. elmagnifico

    Unaionaje logo yetu? Tuboreshe wapi? Tunapokea maoni, ushauri na mapendekezo

    Kwakweli kwa upande wangu naona haziko clean and modern
  7. elmagnifico

    Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

    Yani nliona hii picha nikacheka sana. Aliyeturoga waafrika katumaliza
  8. elmagnifico

    Ni yupi Mwanapinduzi wa Teknolojia kati ya TESLA na EINSTEIN.

    Apple kuwa na patents za technology haina maana ni idea za mwanzilishi, hata thomas edson alipatent vitu ambavyo hakuvumbua vilivumbuliwa na maengineer aliokuwa kawaajili. Elon Musk maengineer wanamsifu kwamba anaweza jihabarisha akawa na uelewa mkubwa wa tech za makampuni anayosimamia. Hivyo...
  9. elmagnifico

    Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Mpesa yes hata kwenye maelezo nimeandika mpesa inakubali, ukishaiset tu basi hata utoe line as long as unajua password inakubali. Ila airtel an tigo pesa ukitoa line nayo inakusignout. Pia hata kuset app inabidi line iwe kwenye simu ndipo inakubali labda wana ujanja wa kuzitrick.
  10. elmagnifico

    Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Mkuu hii ya kutumia airtel app haiwezekani. Ukitoa line kwenye simu ukaweka nyingine ukifungua app inadai uweke line na utumie internet ya airtel. Tigo pia ni same kasoro voda (napenda voda kwa hili). Labda kuna njia nyingine wanayotumia. Au inawezekana labda ukiendelea tumia internet ya airtel...
  11. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Ilifail huenda iliwahi unajua time matters in everything
  12. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Kweli mkuu. Speculation zinadai kifaa cha apple kitakachorithi iphone ni AR glasses
  13. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Na uliku2a waonekana mnyama ukipost status fb halafu chini ikaandika kuwa umepost kwa bberry. Watu nipe key yako ya bm messenger 🤣🤣
  14. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Kuna kampuni inaishitaki Google kwa hili la kumlipa apple. Yes, ila mimi naona kama innovations imepungua kwa miaka ya karibuni watu wako kwenye macamera sijui wanataka kila mtu awe cameraman
  15. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Mkuu sitoeleza sana maana uelewa wangu wa quantum computing siyo mkubwa ila zinafanya kazi tofauti na hizi computers zetu. Mfano inadaiwa quantum computer inaweza crack 2048 bit rsa encryption kwa masaa nane tu. So hofu ya marekani ni kwamba breakthrough ya china kwenye quantum computing kwao...
  16. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Apple hatari sana, report ya juzi juzi inadai kwamba Google anamlipa Apple asije akajihusisha na search engine business
  17. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Sanctions za US zimeiua. Nachoona US anaogopa development ya mchina kwenye tech. Nimeona hadi ameweka sanctions kwenye kampuni za kichina zilizofanikiwa kwa kiasi flan kwenye quantum computing. Huawei soona anaanza manufacture chips
  18. elmagnifico

    Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Google ana OS nyingine inaitwa Fuchsia iko jikoni na samsung naye kashiriki kwa kiasi flani kuidevelop. Hiyo imekuwa developed from the ground hadi kernel wameitengeneza. Inasemekana ndiyo itakuwa mrithi wa android
Back
Top Bottom