Unamlaumuje Mkurugenzi wa Halmashauri kutumia pesa ambayo haikiidhinishwa na baraza la madiwani ilhali Rais anatumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge?
Tukimuwajibisha Mkurugenzi, nani atamuwajibisha Rais.
Unanikumbusha wimbo wa Roma. Kuna mahali aliimba,
"Uchafu wa Mrisho unafanya msafi aonekane Benja..."
Leo hii tunaweza kusema, "Uchafu wa Magu unafanya msafi aonekane Mrisho..."
Beware tusidumbukie humo.
Nakumbuka wimbo wa Roma;
"Uchafu wa JK unamfanya msafi aonekane Benja."
Nikiutafsiri kwa 2018;
"Uchafu wa Magu unamfanya msafi aonekane JK."
Shida yetu ni deeper kuliko Magu...
Ombi langu moja tu, mkiandamana, msiharibu miundo mbinu na mali za umma au watu wengine binafsi maana ni kodi zetu hizihizi zitakazotumika kujenga upya vilivyoharibika.
Kila la kheri.
Ninaona unajaribu kumtetea Magufuli kwa akili sana.
Kitendo tu cha kuitoa Tanzania kwenye mpango wa kuendesha serikali kwa uwazi kinatakiwa kitoshe kukuonesha kuwa raisi aidha hana nia njema na nchi au anatuchukulia kama makondoo. Tujue, tusijue..hatuna shida.
La hasha, MM, Magufuli...
Nyani,
The problem lies with the man at the helm of the country.
They are no longer servants...civil servants...watumishi wa umma...public servants...they are rulers, bosses...
All democracy swept off in the name of 'salvaging our sinking economy'.
Hiyo fimbo kwa lugha ya kiingereza inaitwa 'Swagger cane'.
Kibngo tutasema 'inakupa confidence fulani'. Unakumbuka sekondari wakati wa kuongea mbele ya darasa kulikuwa na wale waliokuwa bila kushika kalamu mkononi anakosa confidence kabisa, wengine lazima achezee vidole, mwingine kuegemea meza...
Sasa anafanya damage control...is it too late?
Damage control kwa matamko? Unaweka processes gani kuhakikisha hata kama haupo hali itabadilika? ama ndo yale ya kufanya surprise visit Muhimbili ukitarajia Mbeya watabadilika?
Katiba nzuri inasaidia sana hata tukipata raisi asiyefaa maana katiba hiyohiyo itamuwajibisha. Katiba tuliyonayo inashindwa hapo.
Hata tutakapoanya mchakato wa katiba isiwe jambo la kuharakishwa. Ingewezekana katika iwasilishwe kwa vifungu na sio kwa ujumla. Yani wana-discuss suala la uraia...
Raisi hayupo hapo kuwasikiliza hata. Amekuja na majibu na mawazo yake kichwani. Kila mmoja naona anajua mtu wanayezungumza naye.
It is a sad state tuliyopo aisee...
Hayo ya "akiwa..atabadilika" ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.
Ndiyo yaliyotufanya kumchagua Magufuli kwa kuwa tuliamini atabadilika (soma utabiri wa paschal mayala).
Kwa bahati mbaya zaidi, ndiyo wanachotaka kutuaminisha CHADEMA (hii mada ya wakati mwingine).
Tunataka tuone morality yako...
- Chama tawala kinapaswa kuwa cha kwanza kupaza sauti kwa ajili ya hao wachache wanaoonewa. Hii ni pamoja na viongozi wengine waliopo madarakani (katika serikali iliyopo)
- Viongozi wa asasi nyingine (tofauti na serikali) pamoja na wale wa vyama vya upinzani ndio wa pili kupaza sauti baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.