Search results

  1. A

    Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

    Hayo mambo yanatendeka miaka yote, safari hii kuna watu wamekosa mgao. Mama Shelukindo analijua hilo sana kwa sababu mme wake alikuwa ni M/kiti wa kamati hiyo miaka 5 iliyopita; naye alikuwa anapata mgao kupitia mr. wake. Leo hii mr. wake hayupo mjengoni kwa hiyo mgao haumfikii ndo maana akalipuka!
  2. A

    Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

    Kujiuzuru kwa utashi/hiari kwa mtumishi yeyote wa umma kwa kosa lolote ambalo ni kinyume na utaratibu/kanuni huwa ni ishara ya mtumishi huyo kukiri hadhalani udhaifu wake kiutendaji. Waziri mkuu anakiri kwamba hana mamlaka ya kumwajibisha katibu mkuu ndugu Jairo, inawezakana ni kweli kwa mujibu...
  3. A

    Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

    Kujiuzuru kwa utashi/hiari kwa mtumishi yeyote wa umma kwa kosa lolote ambalo ni kinyume na utaratibu/kanuni huwa ni ishara ya mtumishi huyo kukiri hadhalani udhaifu wake kiutendaji. Waziri mkuu anakiri kwamba hana mamlaka ya kumwajibisha katibu mkuu ndugu Jairo, inawezakana ni kweli kwa...
  4. A

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Anawahi birthday ya MADIBA ni leo kule SA.
  5. A

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    Pia tukumbuke jana usiku walikuwa na kikao chao cha ccm. Wamepanga hadi ni yupu anatakiwa kuongea leo. Ni VINYONGA hao!
  6. A

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    Anasubiri apewe LUNCH, ikifika j'tatu ataunga hoja mkono. Ni suala la muda tu!
  7. A

    Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

    Hiyo ni danganyatoto ya CCM, kumbuka jana walikuwa na kikao chao usiku. HUYO ANNA KILANGO KUANZIA LEO ATAPEWA LUNCH NA NGELEJA MFULULIZO MPAKA JUMATATU ATAKUWA AMEELEWEKA TU NA KUUNGA MKONO HOJA. Mwisho wa siku utaniambia tu!
  8. A

    Samwel Sitta na Anna Kilango Malecela kuongoza maandamano Mbeya

    Inawezekana ikawa madhumuni ya maandamano ni kusherehekea kujivua nyazifa zote alizokuwa nazo ROSTAM AZIZ kwenye CCM!
  9. A

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Huu ni ujumbe kwa wabunge wote wa CCM ambao ni wafanyabiashara, waachie ngazi. Wapo bungeni kwa maslahi yao ya kibiashara na si kuwatumitumikia wapigakura wao.
  10. A

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    Wabunge wote CCM wamelogwa! Wakiwa mjengoni wanawaza ipo siku watateuliwa kuwa mawaziri au spika, ukichanganya na posho haramu wanazopokea ndo kabisa zinafanya akili zao kuwa na magamba!
  11. A

    Wabunge: Wasaliti wa watanzania.

    WABUNGE: WASALITI WA WATANZANIA. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana mjadala wa bajeti ya serikali unaoendelea huko bungeni mjini Dodoma. Miongoni mwa hoja zinazochukua sehemu kubwa ya mjadala ni suala la posho, na kwa kweli hili limeshajadiliwa na wadau mbalimbali hapa nchini. Nami...
Back
Top Bottom