Hakika nimeamini kuwa Vyama vya Wafanyakazi Tanzania havina msaada kwa Wanachama wao ambao ni Watumishi licha ya kuwachukilia michango yao kila mwezi.
Watumishi wamesimamishiwa upandaji wa Madaraja, waliopandishwa madaraja tangu 2015/2016 hawajarekebishiwa mishahara. Watumishi hawajapandishiwa...
Ili kuweka historia ya Ubingwa wetu kwa mwaka 2018/2019 Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania ukodishe helikopta ambayo itawabeba mashujaa wetu na kuwatua katikati ya uwanja na baada ya mchezo na kukabidhiwa kombe.
Helikopta itarudi tena Uwanjani kuwabeba Mashujaa wetu na Kombe letu hadi liliko Basi...
Wadau kwa aneelewa utaratibu sahihi wa kununua kiwanja /shamba lisilopimwa na kwenda kuandikiana Ofisi ya Serikali ya mtaa .
Binafsi nimebaini kuwa SERIKALI za mtaa ambazo ziko chini ya Halmashauri hutoza fedha kwa WANANCHI wanaofika pale kuandikiana kwa gharama ya asilimia 10 ya MAUZO fedha...
Hakika Klabu ya WANANCHI YANGA kwa hiari yake Leo imeukabidhi Ubingwa wa Kandanda Tanzania Bara lea Klabu ya Simba.Yanga imeutema ubingwa huo baada ya kipigo kutoka lea Klabu ya Prison ya Mbeya.NawaombaMabingwa wapya kuendelea kusaka Pointi zilizobaki kwa KASI ile ile."This is Simba "
Hakika inasikitisha sana kuwa WATUMISHI WASTAAFU wakicheleweshewa Mafao yao na mifuko ya hifadhi ya jamii.Kama mtumishi aliweza kuchangia michango yake kwa uaminifu mkubwa iweje Leo acheleweshewe Mafao yako? Wastaafu hao hawana kipato kingine zaidi ya Mafao yao hivyo ni vema Mifuko hiyo...
Wadau naomba tuungane kuchangia mada hapo juu.Binafsi naishauri Serikali iangalie upya sheria ya KUSTAAFU kwa Mtumishi wa Umma wa kwani muda KUSTAAFU kwa hiari MIAKA 55 ni muda mrefu sana na MIAKA 60 kwa Lazima. Sababu za kutaka hayo mabadiliko ni pamoja na:
1.Afya kwa WASTAAFU watarajiwa...
Hakika nimeshangazwa na kitendo cha kihuni na kisicho cha kistarabu lea mchezahi wenye umri mkubwa, mchezaji wa timu ya Taifa na Klabu kubwa nchini Yanga Kelvin Yondani kumtemea mate mchezaji wa Klabu ya Simba juzi uwanja wa Taifa.
Naziomba mamlaka husika TFF na bodi ya ligi mumwadhibu mchezaji...
Wadau hasa waumini wa dhehebu la kikatoliki je ni kwanini Askofu akifa huzikwa ndani ya kanisa na sio eneo la makaburi walipozikwa hata Mapadre? Nasema hivi kwani nimeshuhudia Askofu wa kwanza wa Jimbo la Mahenge marehemu Elias Mchonde alizikwa kanisani.
Binafsi napenda kuishauri Serikali za mikoa yote ya Tanzania ziwakamate watoto wote wa mitaani ili kila mtoto awataje wazazi wake kisha Serikali ndio ihangaike na hao.
Watoto ambao wanaishi na mmoja kati ya wazazi wake binafsi sioni kama ni tatizo kubwa kama la wale wa mitaani ambao kula kulala...
Naushauri uongozi wa MANISPAA ya SUMBAWANGA kuanza mchakato wa Ujenzi wa Kituo kikubwa cha MABASI nje ya MJI ili kuupanua MJI wake.Kutokana na Barabara ya kutoka mby/sumbawanga kuwa ktk kiwango cha lami kumekuwa na ongezeko kubwa la MABASI hali ambayo inakifanya Kituo cha MABASI cha Soko...
WAZIRI wa Utumishi hebu waambie Watanzania sababu zinazoifanya Serikali yetu ishindwe kuwarekebishia mishahara WATUMISHI waliopandishwa MADARAJA mwaka2015/16 baadae ikarekebisha barua za na kuwa Novemba2017 kisha imesema ni April 2018.
Juzi Katibu Mkuu utumishi aliagiza kwa mara nyingine tena kurekebisha barua za watumishi waliopandishwa madaraja 2015/2016 .Mwaka 2017 Katibu Mkuu aliagiza barua zirekebishwe kuanzia Novemba 2017 lakini Mishahara haikurekebishwa.Mwezi march 2018 Katibu Mkuu Utumishi wametoa tena waraka kuwa...
Leo nimesoma waraka toka Kwa Katibu Mkuu Utumishi akizungumzia marekebisho ya mishahara Kwa watumishi 25,000 WALIOPANDISHWA MADARAJA.Najiuliza mbona sisi Wa Awamu iliyopita ya watumishi 59,000 TULIOREKEBISHIWA BARUA zetu na kuwa za Novemba 2017 Hatujarekebishiwa mishahara mpaka Leo?Tayari...
Hakika inashangaza sana ukimya Wa MIFUKO ya Kijamii juu ya Uungwanishwaji Wa MIFUKO Kwa wanachama wake.Nilitegemea elimu ya kwanini MIFUKO inaunganishwa, FAIDA na HASARA, Hatima ya wanachama na watumishi ingetolewa na MIFUKO yenyewe Kwa wanachama wake.Wanachama tunasikia habari hizi kupitia...
Hakika inasikitisha sana kuona bado hata wale WALIOPANDISHWA MADARAJA na barua zao kutakiwa kurekebishwa na Katbu Mkuu Utumishi mpaka Leo Hawajarekebishiwa mishahara yao.Barua hizo zilitakiwa zisomeke Novemba 2017 na tayari zimesomeka.Tunaiomba Serikali isikie Ombi hilo.
Wadau NATAFUTA KIWANJA ukubwa 30×30 m sio hatua Kati ya Kwa Mwingira ,mjimwema mpaka Ungindoni , kuwa na Barabara ya gari umeme jirani simu yangu 0752334403.
Mie naamini Bw.Polepole na Falsafa yake ya kuwalazimisha madiwani na wabunge wa Upinzani KUJIUZULU na kujiunga na CCM na UCHAGUZI kufanyika upya Kwa kutumia Mabilioni ya FEDHA ambazo ni kodi za WANYONGE Wa nchi hii inasikitisha sana.
Bw.Polepole anazurura nchi nzima kushawishi wapinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.