Search results

  1. Jayonepey

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    [emoji23][emoji23] umenikumbusha mbali, alikua anaitwa Muhiri Obare alikua anaishi Igoma kipindi hicho
  2. Jayonepey

    Hizi Online courses zipoje?

    Inapamba CV na kuongeza ujuzi pia
  3. Jayonepey

    Hizi Online courses zipoje?

    Kuna kozi nilisima humo, ni recorded lectures na pia notes kwa kila module. Mwishoni ndio kulikuwa na assignment na ili kufaulu ilihitaji kupata 80%. Vyeti ndio wanauza vikiwa framed na pia as PDF
  4. Jayonepey

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Ogweo mathematics thaqaafa sec school
  5. Jayonepey

    Hili la Vincent Bossou lina somo kubwa sana. Tusiache kujifunza

    kuna huyu pia naye ana matatizo na Yanga
  6. Jayonepey

    POEM: Eat more by Joe Corrie

    Figure of speech Irony: The slogan say, ‘More fish, more beef, more bread!’ But I’m on Unemployment more pay
  7. Jayonepey

    Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

    Credit www.instagram.com/j1pgram
  8. Jayonepey

    Trump apewe nuclear codes

    Mvunja sheria anafatiliwa sehemu yoyote ile ndio maana hata gazeti la kisiwa walipotumia bandiko lake walifuatwa hukohuko.
  9. Jayonepey

    Trump apewe nuclear codes

    Kavunja sheria za group la WhatsApp hairuhusiwi kusambaza post za hilo group. Pia amefanya makosa kwa kuanzisha mada bila kumrejea The bold kama mwandishi wa hiyo mada.
  10. Jayonepey

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Unaboa mwana, kwa hiyo umeona raha eti!
  11. Jayonepey

    Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

    Ni kweli Joh anabebwa na hit song zake
  12. Jayonepey

    Vodacom Internet Imekuwaje Leo 6 JAN 2016

    Mie nilidhani simu ina tatizo, nimeweka Halotel ikakubali
  13. Jayonepey

    Unataka product huzi za nje kwa bei nafuu, nusu ya zinavyouzwa bongo

    kamera kama hii ni shilingi ngapi?
  14. Jayonepey

    Geranimo E.K.I.A: Kutoka Makao Makuu ya CIA Langley, Oparesheni Ya Kukamatwa Osama Bin Laden

    Unaona raha gani kunukuu uzi mrefu hivi? Unatupa shida tunaotumia simu
  15. Jayonepey

    Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Weka na bei za tablets na iPad
  16. Jayonepey

    Diamond Platnumz: Mwafrika alievunja rekodi ya followers instagram

    Ni mwafrika anayeishi Afrika bongo5.com wameelezea vizuri
  17. Jayonepey

    Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    Agent 47 Man From Another Uncle
Back
Top Bottom