Search results

  1. B

    Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

    Kuna mbwa mmoja anaishi kinondoni hapo nimemtumia mzigo wa kutuma mkoani wenye thamani ya 920,000 alafu anazingua kauza mzigo wa watu Alafu anajibu kwa jeuri nimemtafta anazima simu nikaamua kwamba niwatafte ndugu zake, ananiambia basi hao ndugu ulowaambia kunichafua ndo wakulipe, Nasema hivi...
  2. B

    Ni kwamba watanzania ni wazembe kutembelea nchi za nje au ni Serikali inawabana kutoka?

    Wapo ila tatizo wengi wazembe sana hakuna cha serikali kubana wala nini
  3. B

    Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

    Sasa muda wa kukaa kuchagua itakuwa mrefu wakati sina hata likizo
  4. B

    Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

    Yaan demu sikosi ila anayefaa ndo tatizo
  5. B

    Niwe mkweli sasa nataka mchumba hapa hapa JF awe na pass ya kusafiria

    Hello habari zenu Sitazunguka sana naenda moja kwa moja kwenye point Kwa walio serious tu plz Mi ni kijana wa miaka zaid ya 30 Ninaishi Netherlands muda huu Nimetamani sana kuoa mtanzania lakin imekuwa ni ngumu kutokana na kwamba siishi huko, na mazingira ya ku interrupt yameishindikana, Nina...
Back
Top Bottom