Search results

  1. Mbaliche

    Tuna tenganeza pamp za kuvuna maji hadi lita 300,000 kwa saa

    Wadau tuna tengeneza pamp za kuvuna maji kwenye visima, mito, mabwawa na ziwa, zenye uwezo mkubwa na zina tumia mafuta kidogo yasiyo zidi lita 2 kwa saa. pamp zinaweza tumia injini, trecta au mota. pamp zina uwezo wa kutoa maji lita elfu15 hadi 120,000 kwa saa kwenye visima, zaidi ya lita lak3...
  2. Mbaliche

    Naomba kuelimishwa juu ya kumiliki hisa kwenye kampuni

    Habari za asubui wa heshimiwa, Natumai mko salama, natambua kua JF ni darasa lenye walimu wa kila somo na wanafunzi wenye maarifa tofauti. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavo eleza naomba kuelimishwa juu ya hisa za kampuni, maana kutokana na ujuzi wangu naona kuna makampuni mengi yanakuja...
  3. Mbaliche

    Windmill waterpump kwa kilimo na ufugaji wa samaki

    Ni pamp inayo faa kwa kilimo na ufugaji wa samaki kwani ina uwezo wa kuvuta maji kwa kiwango kikubwa hadi lita 800 kwa dakika . Namb 0657 139511/0768092950
  4. Mbaliche

    Nauza Windmill water pump kwa wafugaji wa samaki!

    Ni muda mrefu nimefikiria namna ya kuwa komboa wafugaji wa samaki namna ya kufanya samaki wapate oxgen ktk mabwawa ili wakue vzr na mfugaji apate faida kubwa. sasa nimegundua njia rahisi itakayo fanya maji ya zunguke kwa njia ya windmill water pump. pump itatumia upepo na ita kua na uwezo wa...
  5. Mbaliche

    Ninatengene windimill water pump

    Ndg zangu maendeleo ya kilimo,ufugaji nk, sasa tunatengeneza windmill waterpump,pamp inayovuta maji ktk visima,mito,mabwawa kwa kutumia upepo. Pia tunachimba visima virefu na vifupi,pia local greenhouse & drip irigation kwa bei poa
  6. Mbaliche

    Msaada kusajili kikundi cha ujasilia mali!

    Jf members naomba msaada kwa yeyote anae jua ha2a za kusajiri kikundi cha ujasilia mali, 2meungana vijana 10 ambao 2nachimba visima,ujenzi wa nyumba, umeme wa solar, na kuvuta maji machafu ktka vyoo ambavyo vipo sehemu ambazo hazifikiwi na magari ya maji taka. jf ni kila ki2 halikwami jambo.
  7. Mbaliche

    kumbe huyu nae yupo igunga!

    utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya!
  8. Mbaliche

    Ccm ni kama nyani kachoka!

    Nimefanya kazi ya kuwinda nyani kwa muda mrefusana. Kwahiyo na fahamu tabia za nyani A 2 Z. Kwa kawaida mnyama huyu kabla hajachoka huanza kukimbia kwamadoido na mbwembwe kibao, hukimbia na kufika mbali na kukusubiri umkaribie ndipo huanza mbio tena. Vituko huanza mara anapokuwa...
  9. Mbaliche

    Jengo la manesi laungua muhimbili!

    inasemekana jengo la manesi muhimbili laungua. Chanzo times fm.
  10. Mbaliche

    Nifanyeje wakuu?

    wakuu naomba ushauri wenu! Nina mahsiano ya kimapnz na huyu dada ya pata mie 9 sasa. Simjui ndg yake hata mmoja, wala hamjui ndg yang yeyote hata kw2 hakujui. Lakini ametokea kuniamini kpta kiac, kwni anini kabidhi pesa ni mwekee, ambazo maishani mwangu cjawai zshika. Na hataki nilale kwangu...
  11. Mbaliche

    Kikombe kingine chagunduliwa mtwara!

    Binti mwenye umri wa miaka 11 amegundua dawa yakutibu magonjwa sugu, kama ukimwi na mengineyo, dawa inafahamika kwa jina la MKONG'OTO. Inaelezwa kuwa watuwengi kutoka msumbi, malawi wana kwenda kupata tibahiyo na kupona kabisa. Naomba wana Jf mlioko mtwara mfuatilie hilo swala mtujuze zaidi...
  12. Mbaliche

    Natafuta frem za biashara msaada wenu jamani!

    ndg zangu Jf naomba msaada wenu, nipate frem maeneo ya fuatayo, magomeni,mwananyamala,mansese, sinza,mssni, kawe,bugruni. Zinazo faa kwa biashara ya mchele na maharage. Sim 0768092950
  13. Mbaliche

    Kipimo cha mawaziri kiwe hivi!

    sijajua mwongozo wa bunge kuhusu maswali na majibu bungeni, ninge penda maswali ya papo yaulizwe kwa kila waziri, hapo ndo tungejua uwezo wa mawaziri na utendaji wao wakazi. Kwa mfumo huo tutapata viongozi wabunifu na wenye kujituma katika wizara zao.
  14. Mbaliche

    Huu sio ufisadi pia? Naomba msaada.

    Nimetafakari kwa muda mrefu sana lakini sipati jibu, kuhusu makampuni ya simu hapa nchini, kuzitumia nyimbo za wasanii kama caller tone kwa wateja wao, na kukatwa kiasi cha pesa kwa kila wimbo utakao hitaji. Je, wa miliki wa hizo nyimbo wana fadikaje? Naomba kama kuna mhusika na swala hili ndani...
  15. Mbaliche

    Je huu si ufisadi pia?

    Je huu si ufisadi pia? Makampuni ya cm yanatumia nyimbo za wasanii kwa wateja wao maarufu kama caller tone na kuwatoza wateja kiasi fulani cha pesa,swali langu ni hili je wasanii wenye nyimbo wananufaika vipi na hizo pesa zinazo kusanywa na hayo makampuni.
Back
Top Bottom