Search results

  1. M

    Vitambulisho vya uraia TZ viwe hivi

    habari zenu wana jamvi, sasa hivi serikali iko mbioni kuandaa vitambulisho vya uraia. lkn cha kushangaza hawajasikiliza maoni ya watanzania ili kuona ni kipi hasa wangependa pia kiwepo kwenye ID hizo. kwa uzoefu wangu suala la upotevu linachukua sana nafasi kwa ID za benk, vyuo, NEC yaani kadi...
  2. M

    Kwa wale watoto wa wafugaji mlitokaje huko maana

    leo nimekumbuka sana maisha niliyopitia wakati wa utoto na ujana wangu, nimetokea kwenye familia ya wakulima na wafugaji, ama kweli yale ndiyo yalikuwa maisha halisi ya mwafrika. Nilichunga ng'ombe nusra nisisome shule, kila asbh tulikuwa tunaenda kuchunga/ kulisha kundi la ng'ombe wapatao 200...
  3. M

    Piiiiiii!!!! Matangazo ya ajira feki

    wabongo bwana wamezidi kuchakachua, kutokana na watumiaji wa mawasiliano kwa njia ya mtandao kuongezeka, na matumiaji wengi ni wasomi hasa wale waliomaliza vyuo na wanatafuta kazi, sasa imekuwa balaa. Kuna mitandao ya kibiashara inapachika matangazo feki ya ajira ili kuvutia watumiaji ili...
  4. M

    Yanga tunasubiri mzikate unifom za red cross maana zinaashiria simba sc

    yanga imeonesha ungangari kugomea jezi za vodacom kutokana na kuwa rangi nyekundu. Lakini hatuoni ikigomea rangi nyekundu na nyeupe ambazo zinatumiwa na watu wa huduma ya kwanza maarufu kama red cross. Tff mpo hapo. Sijui itakuwaje maana kwenye mechi za watani hwa watu wanapata shida sana. Tff...
  5. M

    You're Discriminatory, NHC Tenants Protest... Tanzanian of Asian descent are Unhappy with NHC

    KUNA USEMI ULIOENE MTAANI KWAMBA KWAMBA KUWA MTANZANIA MAANA YAKE USIFIKIRIE SANA MADUDU YANAYOFANYIKA HAPA KWETU ZAIDI UWE MTU WA KUPOTEZEA..... LKN WENGINE TUTAENDELEA KUSEMA YA MOYONI. SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA HILI LA TANZANIA LINATUMIA FEDHA YA WAVUJA JASHO KUJENGA NYUMBA AMBAZO...
  6. M

    Vyuo halisi tanzania...... Angalizo la vyuo feki tanzania.

    Hii ndiyo orodha ya vyuo vinavayotambulika serikalini. Vyuovisivyokuwemo katika orodha hii ni feki, hivyo jamii inatahadharishwa kuwa makini. Baadhi ya vyuo vinavyosimamiwa na VETA vimekuwa vikitoamafunzo ya diploma jambo ambalo ni kinyume na taratibu KILA siku afadhali ya jana! mfumo wa...
  7. M

    Ewura haina mgao wa bajeti?

    Tanzania ina mamlaka kadhaa zikiwemo tfda, tcra, sumatra, ewura n.k lengo hasa la hizi mamlaka zilikuwa kuhakiksha mtanzania anapata ubora na unafuu katika maeneo husika ya hizi mamlaka. Lakini badala yake hizi mamlaka leo zimegeuka mzigo kwa watanzania....... Chukulia mfano ewura.... Kila...
  8. M

    Tume ya kuhakiki vyeti vya watumishi serikalini lini/ tcu mko wapi

    Hakuna kisichowezekana bongo, huu ni usemi maarufu sana hapa mjini! Wanazuoni wengi wamekuwa wakiimba juu ya kuvurunda kwa serikali yetu na utumishi mbovu wa watendaji wetu. Chanzo kingine cha tatizo hili ni kukithiri kwa watumishi feki ambao hawana sifa na wanatumia vyeti vya kughushi. Hivyo...
  9. M

    Ubomu wa fedha zetu na janga la kiuchumi nani alaumiwe ???

    Fedha zetu yaani sarafu na noti sio imara hata kidogo, sarafu zetu ikidondoka arhini baada ya wiki haitamaniki tena kutokana na kushika kutu,noti zetu mpya ndio kabisaa inaghushika kama njugu mitaani na inachakaa kwa haraka zaidi. Je hasara hizi za fedha kuoza na kuchanika ovyo ovyo mbona...
  10. M

    Picha za utupu isiwe kitanzi katika jamii kwani mbinu za upatikanaji wake ni wakijasusi

    Dunia imebadilika sana hasa kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Vifaa vingi vya kiteknolojia ni vigeni miongoni wa wanajamii wetu hivyo hata matumizi yake ni ya kubahatisha. Vifaa kama simu za mikononi, laptops, ipod, saa, miwani,modem, n.k. Kwa bahati mbaya sana vitu hivi...
Back
Top Bottom