Search results

  1. chase amante

    Mamelody watavaa jezi ya rangi ipi?

    Siku ya jumamosi katika mtanange wa young Africans na mamelody ,je mamelody watavaa ule Uzi wao wa rangi ya njano na bukta ya bluu(Ubuntu bothu) au ule wa rangi nyeusi? Nimeuliza hivi kwa sababu hata young Africans Wana uzi wa kijani/njano ambao kama watavaa wa njano utafanania na ule wa...
  2. chase amante

    Hivi ni kweli, yule Mzee wa kazi chafu aka MVP Litombo anakwenda Simba?

    Habarini za usiku, Nimeamua niulize ukweli wa tetesi hizi zinazomuhusisha Bangala kutimkia Simba lakini kitu kinachonifikirisha zaidi ni sababu zilizopelekea mpaka zikawepo tetesi hizi. Je, uongozi wa Yanga umeshindwa kabisa kukaa mezani na bangala wamalize tofauti zao? Je,huduma ya mkongoman...
  3. chase amante

    Wanaopinga ubinafsishaji wa bandari wasitucheleweshe

    Habarini watanzania wote na nawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya muungano. Naomba niipongeze Serikali ya mama yetu na mlezi wetu Dr Samia suluhu Hassan Kwa kutekeleza Kwa vitendo kabisa ahadi yake ya kuendelea kuvutia wawekezaji na kuiinua na kuipa thamani sekta binafsi hapa nchini kwa...
  4. chase amante

    Bunge lina udhaifu mkubwa katika kuisimamia Serikali. Taifa linahitaji maombi

    Habarini ndugu,jamaa,waheshmiwa na wanajf wenzangu.kheri ya mwaka mpya 2022. Kumekua na sakata kubwa la mvutano wa mkuu wa serikali na wa aliyekua spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,sakata ambalo wengi wamelichukulia kisiasa na kishabiki tu bila ya kutazama athari na faida yake...
  5. chase amante

    Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  6. chase amante

    Sera ya Faragha ya tigo ni bora mara 100 kuliko ya Vodacom

    Habarini, Kumekua na mjadala kua sera ya kampuni ya simu ya tigo ni mbovu kwani inashindwa kulinda taarifa za mtumiaji,kiasi kwamba polisi wanaweza pewa muda wowote watakapozihitaji bila kibali cha mahakama. Sheria ya uharifu mtandaoni ya mwaka 2015,inatoa ruhusa ya polisi kuomba kibali...
  7. chase amante

    Wizara ya Uchukuzi inakwamisha juhudi za Rais Samia kuinua uchumi

    Habarini wana jf. Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh samia suluhu hassani amekua akisisitiza sana uchumi wa viwanda.Na kwamba,viwanda vitasaidia kuinua uchumi wa nchi na kipato cha mtu mmoja mmoja. Sekta ya uchukuzi kupitia bandari,barabara na ndege inasaidia sana kukuza uchumi kwani...
  8. chase amante

    Sakata la pandora papers liifundishe serikali kuwa na uwazi na matumizi mazuri ya fedha za umma

    Habarini, Jumapili kuliibuka sakata la pandora papers report ambayo iliibua akaunti za fedha za nje za viongozi na watu matajiri duniani akiwepo Tony blair,rais uhuru kenyatta n.k Kua na akaunti nje ya nchi sio kosa ,ila kosa ni kua kodi inashindwa kulipwa kwa nchi zile walizopo wamiliki...
  9. chase amante

    Ahadi ya Kansela Angel Merkel kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Tanzania ilikuwa ni uongo?

    Mnamo mwaka 2019, Kansela wa Ujerumani alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na hayati Rais Magufuli na kumuahidi kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea kuliko vyote Afrika hapa nchini. Ningependa kujua, kama kimejengwa au kipo katika hatua ya ujenzi. Kwa mwenye taarifa, naomba anijuze. Ahsante
  10. chase amante

    Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

    Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo. Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya...
  11. chase amante

    Rais Samia komesha uzembe wa askari barabarani

    Habarini ndugu, Siku za hivi karibuni kumekua na ajali nyingi sana za barabarani, ambazo kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na uzembe wa madereva. Lakini, askari wa barabarani wamejisahau sana na kupelekea kuongezeka kwa ajali hizo. Naomba mama samia liangalie swala hili
  12. chase amante

    Frank Nyabundege, failed manager of the failed TIB Bank to lead important TADB Bank

    In what seems like an okay selection for the president of tanzania, the infamous frank Nyabundege who previously served as a managing director of TIB corporate bank has been appointed to be the managing director for Tanzania agricultural developement bank(TADB). He was suspended by the bank of...
  13. chase amante

    Rais samia achana na debt diplomacy, unahatarisha uchumi wetu

    Habarini ndug, Siku za hivi karibuni tumeshuhudia ziara nyingi nje ya nchi, za rais samia. Ni ziara nzuri kwa kua zinaimarisha ushirikiano. Lkn kinachonishangaza ni kwamba, naona anazidi kupotea kila siku. Diplomasia yake inakua ni ya kuomba mikopo na kuongeza madeni, badala ya kua...
  14. chase amante

    Waziri Ndugulile kajifunze Kenya maana ya digital revolution

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano. Waziri wa Teknolojia na mawasiliano, jana alitangaza kua anawakaribisha watu kuwekeza kwenye mtandao wa 5G nchini Tanzania, na pia mpango wake wa kubadili mfumo wa 2G kwenda 3G unaotumika kwenye simu za tochi. Pia, akatangaza na mpango wake wa miaka...
  15. chase amante

    #COVID19 Siku 100 za Rais Samia na janga la Covid-19

    Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo. Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona. Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...
  16. chase amante

    Rais Samia atafanikiwa kuleta Wawekezaji?

    Naam, Habarini ndugu. Katika kusherehekea siku 100 za mama samia madarakani, nimeona nijaribu kuelezea kwa kifupi dhamira yake ya kukuza zaidi uwekezaji. Nampongeza mama samia, kwa kuonesha utawala bora na uwajibikaji katika siku hizo mia moja. Pia, katuvusha salama katika kipindi cha mpito na...
  17. chase amante

    Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

    Habarini wana JF, Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda. Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni muhimu sana, hususani katika kipindi hichi ambapo rais wetu ni mpya, na kuna maadui wengi tu wa ndani...
  18. chase amante

    GNI per capital ya Tanzania

    Habarini wanajamvi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba msaada wa kujua GNI per capita ya Tanzania mwaka 2020. Nitashukuru zaidi Nikipata na source ya habari.
  19. chase amante

    Soko Kuu la Dodoma kupewa jina na Job Ndugai ni kosa

    Nianze kwa salaam, habarini ndugu. Niende moja kwa moja kwenye maada. Kitendo cha Soko hapo dodoma, kupewa jina la job ndugai ni kosa kubwa. Ikumbukwe kina mzee makamba, waliomba hata majina yao yapewe hata mtaa au barabara, lkn waligomewa na kuitwa wasaliti licha ya uzalendo wao wa muda mrefu...
  20. chase amante

    MSAADA LINK YA MECHI YA COPA AMERICA YA CHILE VS PERU

    Habarin za usiku ndugu zangu,naomb mwenye link ya mechi ya Chile na Peru,inayochezwa Leo,antumie.
Back
Top Bottom