Search results

  1. F

    Tangazo la mgao wa umeme kutoka kwa mheshimiwa waziri

    MAKOFIA Tunaomba tueleimishe neno mbadala la hicho unachosema tusitumie.
  2. F

    Tangazo la mgao wa umeme kutoka kwa mheshimiwa waziri

    Tangazo kwa Umma. Ndugu Watanzania tunasikitika kuwatangazia kuwa maji yaliyobaki Mtera ni ya kuchambia tu! Sasa tuamue tupate umeme na tubaki na mavi au tuchambe tukose umeme. Asanteni, Ngeleja.
  3. F

    Wanasiasa vijana wanatusaidia vipi kupambana na changamoto nchini

    Hawa vijana washaingia kwenye kundi. Wamekuwa wabinafsi. Sijui tutatetewa na nani sisi?
  4. F

    Hakuna Mtanganyika (mtanzania bara) Anayemiliki Ardhi/Nyumba Zanzibar

    Gagurito tuwekee ushahidi wa unayoyasema
  5. F

    Wanasiasa vijana wanatusaidia vipi kupambana na changamoto nchini

    HAWA VIONGOZI WAKISHAFIKA HUKO MJENGONI AU WAKIKAMATA DHAMANA ZA KITAIFA WANASAHAU KWAMBA WANA UWAKILISHI WA VIJANA AMBAO NI WENGI KWENYE JAMII NA WANAENDELEZA UOZO. DAWA SIJUI MUARUBAINI WETU TANZANIA UKO WAPI Wengine wanasingizia MUUNGANO
  6. F

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    Taso na Msema Ovyo Inawezekana kuwa faida za kuwa na Muungano hamuzioni. Sasa, hebu tuelimisheni faida za kutokuwa na Muungano. Dr Slaa nasema YES Muungano Maalim Seif anasema YES Muungano Mrema Anasema YES Muungano JK Anasema YES MUUNGANO. Wewe unaesema no, tupe hoja zako. Huoni kwamba...
  7. F

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    TASO Si tumeambiwa tutoe maoni? mimi nimeweka maoni yangu kwamba kuuvunja muungano ni:- 1. Kurudi Nyuma, tunatakiwa tuwe na United Africa (Angali EU; kumbuka wakati tunapigania uhuru; mpaka BOB ALIIMBA AFRIKA UNITE) 2. Kutukana uongozi ulioingia kwenye muungano.\ 3.Kukana asili ya umoja na...
  8. F

    Kuna haja ya kuitisha upya Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA tupate Mwenyekiti KIJANA

    Kama mtakumbuka Uchaguzi Mkuu wa cdm uliopita ulikuwa na mazengwe na kupelekea Chama kupoteza wanachama na viongozi mashuhuri. Binafsi sikupendezwa na hilo na hizi tetesi za manung'uniko miongoni mwa Wanachama zitapeleka cdm pabaya. Kuna watu wameaza kujenga imani eti Mwenyekiti wa cdm lazima...
  9. F

    Waraka wa kuichafua Chadema wanaswa

    Feedback Samahani sana ndugu mwana jukwaa, hivi teseme hujaona michango mitatu kwa thread hii iliotangulia wa kwako kutoka kwa Mankipe, Skirt Chaser na Arafat????? Ukiendelea na utaratibu wa ku-comment without evidence, unakuwa destructive na sio constructive. Sijachelewa kubaidi kwamba wewe...
  10. F

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    Zanzibar na Tanganyika tangu zama za zama; ni kitu kimoja; tumetenganishwa na wakoloni. Wazanzibari ni ndugu zetu, na Sisi ni ndugu zao. Hivyo suala la Muungano ni muhimu uendelee. Kwanza itakuwa tunawaenzi viongozi wetu na kudumisha umoja wetu. Tukujitenganisha tu, tumekwisha na laana ya...
  11. F

    Elections 2010 Dr slaa yupo?

    Mimi naona tangu agaragazwe na Kikwete mwaka jana; amekuwa low profile sana; ukiachilia vurugu za uchochezi anazofanya za hapa na pale. Anyway, he would have made a better MP and Leader of the Opposition than Kijana Aikaeli.
  12. F

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Mie nataka kujua; kwa wataalamu wetu. Hivi cheo/Hadhi - Baba wa Taifa - kimo ndani ya katiba?
  13. F

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Ndio mie nikimkumbuka huwa nalia! Nalia kwa success na lia kwa mapungufu. Nina ndugu zangu jeshini wamekuwa walemavu kwa ile vita, alafu kuna thread nimeona mkuu wa majeshi zamani anzungumza kusahauliwa kwao; kuna watu wanaleta kebehi za mtaani. Eti wanajeshi wanakumbukwa kuliko polisi...
  14. F

    Ukiondosha kuunganishwa kwa kiswahili na muungano; kuna jambo gani jengine ambalo watz tutajvunia?

    National Institute For Medical Research. Tanzania Persticides Research Institute. National Electoral Commission. Ile ya HOSEA siitaji; kwa sababu ina madudu yake. Inapaswa ifanyiwe ukarabati. MOI. Nk kwa upande wa Serikali Lakini pia kuna taasisi za sekta binafsi. Tumefanikiwa kuwa na Uhuru wa...
  15. F

    Ukiondosha kuunganishwa kwa kiswahili na muungano; kuna jambo gani jengine ambalo watz tutajvunia?

    Tumefanikiwa kuwa na Demokrasia ya Vyama vingi na Utawala wa Sheria Tumefanikiwa kugomboa nchi za Afrika kutoka kwa wakolono Tumefanikiwa kutatua migogoro yetu ya ndani pasi na kuingiliwa. tumefanikiwa kutatua migogoro ya majirani zetu Tumefanikiwa kumtoa nduli amin Tumefanikiwa kuwa na taasisi...
Back
Top Bottom