Search results

  1. S

    Safari Yangu

    Ukifika kwetu njoo ulale kwa SULTANI
  2. S

    Mpenzi wa kike

    Hujashuka tu kwenye matatu ?? mwenzio hakijaeleweka.
  3. S

    Naomba mtizamo wako tafadhali....

    Kama una wivu dawa ni kujinyonga tu,uwezekano mkubwa sana ni kuwa hao ni wake wenzio.
  4. S

    kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

    Wala hatuandamani, nikijakuoa hiyo system ni nzuri sana. Maana pesa zikiisha zimesha zikiwepo zipo kila mtu anajua. Na hata kama haitakuwepo nikijaoa lazima mamaaaa nimkabidhi furushi lote. Nikitaka pesa ya petrol atanipa.
  5. S

    kiama cha nyumba ndogo.kina dada tuolewe tu sasa

    Sasa je? mwanamke lazima atunzwe bana hata kama anazo.
  6. S

    She wasn't a girl ...................wasn't yet a woman

    1.Tabia ni tabia tu, haitegemei sana kabila la mtu. Huko wanakosema hakufai unaweza kupata mwenzi safi kabisa 2. Kanisani ulidondoka kwa ugonjwa au mapepo? 3. Mzazi anaweza kupendekeza umuoe nani hasa mtu mwenyewe anapotoka maeneo anayoishi mzazi. 4. Zaidi ya hapo use your sisters. Kama una dada...
  7. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    mi nina jamaa anatoza riba asilimia 30 dhamana gari au pikipiki hataki kiwanja au nyumba.
  8. S

    Sasa nimechoka naanika PM zote za wanaonitaka kimapenzi kupitia JF

    WEWE KWELI UMEFUNDWA......Huyu binti sijui yupo darasa la ngapi vile? akikonyezwa tu mbio kwa mama.
  9. S

    Is the broken heart the reason for that??

    Muda ni muhimu sana katika mapenzi,wenzetu akina dada huchukua muda kutuamini. Jitahidi uaminike usikate tamaa.
  10. S

    natafuta rafiki wa kiume

    sifa zote ninazo kasoro rangi tu,legeza basi masharti.
  11. S

    Wanawake malaya

    Neno umalaya lina maana nyingi,kuna wale wanaofanya mapenzi kwa ajili ya kujipatia kipato na kuna wale ambao yeye si kwa ajili ya pesa bali anapenda kubadili wanaume kila mara hawa nijuavyo mimi ndio huitwa malaya.. Ila kwa sisi wanaume ukiwa hivyo mara nyingi huitwi malaya bali ni...
  12. S

    Ukome tena ukome kuniita mimi mkeo balazuri mkubwa!!

    Kwanza ajaribu kumtafuta mchumba wake amuarifu kuwa ameipokea meseji yake. Unajua simu inaweza kuwa imeibiwa,mwizi ndie katuma hiyo meseji. Pia kuna kukusea namba hapo anasema ukome kuniita mkeo badala ya mchumba huoni tatizo hapo? Baada ya kukutana iwapo atakiri yeye ndie kaituma basi ni...
  13. S

    Unafanyaje?

    1. Mzazi mwenzio ni mzazi mwenzio tu,si vibaya kumshirikisha katika mambo yako. 2. Watu wengine wanakosea sana,mzazi mwenzie anamuona kama adui. Je . ya arusi ya mtoto wenu hamtakaa meza moja? 3. Maugomvi yenu yeye hayajui na hayamhusu. 4. Kama mmetenga kwa muda wa kutosha basi permanent...
  14. S

    Nitasikitika kutangaza kupotea kwa hawa wafuatao….!!!

    1.Mkuu unajichulia kifo nini?? 2. Hata na wewe kuna wakati ulikuwa sawa na wao,umeingia JF miaka 2 una post mia !!!
  15. S

    I want commit suicide

    Nani kakwambia kuzimu kuna raha?? 1.internet kule hakuna hapa unajidai tu 2. Kule hata umeme wa mgao hakuna ni giza kwa kwenda mbele. Ukifika utatamani kurudi na kurudi huku haiwezekani. FURAHIA MAISHA KWA HICHO KIDOGO MUNGU ALICHOKUPA,KWANI KAWANYIMA WATU WENGI TU.
  16. S

    Msiba: Mtambuzi amefiwa na Mama yake mdogo!

    same mlimani wapi? vudee,mamba au?
  17. S

    Happy birthday - dena amsi

    happy birthday da.
  18. S

    Leo Karibuni Huku.

    Ba ! mbona haifunguki?
  19. S

    Why do people cheat??...

    Daaaaaah hiii kali kongosho we kiboko.
  20. S

    Why Do Some Men Treat Their Wives Like Trash?

    Are you a husband or a wife???
Back
Top Bottom