Search results

  1. mbwe

    Wana Simba wenzangu zoezi la kuchangia uwanja Kama limekufa hivi

    Itifak imezingatiwa, Hili Jambo mbona Kama limekufa kibudu ,mitandaoni sioni hamasa yenye makali kabisa , Simba ilivyo na nguvu mitandaoni inashindwa Nini kutumia nguvu ya ushawishi ili hili jambo uwe Kama wimbo Taifa. Au ndio wanatusahaurisha pole pole na pesa imeenda kwenye usajiri. Haki...
  2. mbwe

    Watanzania Tuache Unafki suala Job Ndugai

    Wakubwa shikamoni ,wadogo zangu hamjambo? Husika na kichwa hapo juu kinajieleza wazi kabisa, kwanza kabla ya yote nadikree interest Mimi Sina chama chochote ni raia huru maana sipendi siasa kiivo. Twende mbele turudi nyuma watanzania wenzangu ,unafki huu tulio nao watanzania kiukweli Ni wa...
  3. mbwe

    Kibu Denis

    Niende moja kwa moja kwenye mada kwa mhusika tajwa hapo juu,wadau wa soka hasa Wana simba je mnaona kweli huyu mtu anatufaa pale msimbazi? Mimi kiukweli hanibarik kabisa ni mchezaj mwenye papara Sana, ni mtu asie na shabaha, anatumia nguvu nyingi kuliko akili. Any way mm sio kocha wa mpira...
  4. mbwe

    Nyumba za kupanga kero sana

    Daah ee Mungu nisaidie huu mwaka nihamie kwangu aiseee maana nyumba za kupanga Ni shida Sana . Fikiria watu mmechoka baada ya mihangaiko ya kila siku, anakuja mmoja mida hii ya saa Saba kasoro anafungulia mziki kwa sauti ya juu Sana kibaya Zaid anatuwekea minyimbo ya kuomboleza msiba!!! Ila...
  5. mbwe

    Betting ni uchawi na ni janga kwa Taifa

    Iga ufe
  6. mbwe

    Wilaya ya Ngara acheni kuwanyanyasa na kuwafisadi watumishi wa umma

    Wazima humu? Mimi mzima wa afya kabisa, Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, Hii wilaya ya Ngara inapatikana mkoni Kagera, nianze tu kwa kueleza mambo yaliyopo wilayani hapa kwanza ieleweke watumishi wengi wa hapo halmashauri ni hawana weledi wa kazi ukimtoa Ded na Afisa utumishi...
  7. mbwe

    Joslini kapotekea wapi wadau!"!

    Niende moja kwa moja kwa huyu mwamba joslini mzeee Wa pafyumu yaani alitikisa balaaaa na baadhi ya nyimbo zake kama niite mpenzi,mshikaji mmoja,maisha yanatisha ft nuruel,huyu demu simwelew ft juma nature,nisikilize .Kiukweli huyu mwamba alikuwa yuko sawa kwenye gemu la bongo land ,mwenye kujua...
  8. mbwe

    Asilimia kubwa ya Askari wa kike hawafai kuwekwa ndani kama mke

    Kwa upendo Wa mungu naamini wote wazima kabisa hivyo nitaenda moja kwa moja kwenye Maada tajwa hapo juu! Kichwa kinajieleza kabisa labda tu nianze kwa kukiri kuwahi kudate na hawa viumbe Wa kujiita askari police ,nimewahi date nao kama wawili ivi Ila wote ni kama walikuwa hawana utofauti...
  9. mbwe

    Waalimu wanahamishwa kutoka sekondari kwenda msingi bila malipo yoyote.

    Natunaini wote ni wazima humu na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu tajwa hapo juu,serikali imekuwa na tabia ya kuwaonea walimu kila siku kila mwana siasa anajipima ubavu kwa hawa ndugu zetu walimu .Jiulize Leo unamtoa mwalimu kumpeleka primary bila...
Back
Top Bottom