Search results

  1. I

    Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

    Kwa nn watu mnahamasisha kuuwawa kwa Lisu jenga hoja dhidi ya hoja yake na pia haujamuelewa Lisu matumizi ya dola enzi ya Ukoloni kwenye miundombinu na sasa itofautiane kwa sasa maendeleo ya watu yaambatane na miundombinu sio kufukarisha watu kisingizio kiwe ni ujenzi wa miundombinu
  2. I

    Nimejifunza: Umma unapoamua hakuna itikadi ya chama cha siasa inayoweza kuwazuia

    Nyanda we ni shoga mbona unasema wanaandamana kudai haki za kijamii kama ushoga hivyo unataka watu waandamane kudai ushoga uhalalishwe Tanzania na we utakuwa kiongozi wao?
  3. I

    Siasa halisi na thabiti za upinzani kuanzia mwaka 2021

    Ngosha elewa alichoandika mleta mada
  4. I

    Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

    johnthebaptist, Ngosha unathibitishia watu kwamba sasa watalii watamiminika kwa sababu ya hiyo move ya Kigwangala?
  5. I

    RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Sasa we Ngosha jamaa anatetea ulaji ulitegemea aseme nn zaidi ya kusifu na kuabudu
  6. I

    Tanzania nchi yangu, mazuri na mabaya ni yetu, Serikali ya awamu ya tano ni yetu!

    Huyu jamaa ni matako kweli kuna siku wananchi waliwahi taka vita ama umasikini? Utahila wako unataka watu wajibu unachowaza wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    Prof mmoja aliwahi kuniambia, "Ogopa zaidi hapa dunia Watu wajinga, maana wakiwa wengi wanaweza kumchagua Rais"

    Hawawezi elewa lakini ndo kipimo chao Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    Mwaka 2020, Rais Magufuli atayarudisha 80% ya majimbo ya upinzani CCM. Mgombea urais wa upinzani kuambulia aibu ya kihistoria

    Siku ya tarehe 10-04-2018 yalifanyika maandamano ya kushinikiza mageuzi ya mfumo na uongozi nchini Ethiopia baada ya miezi michache tangu uchaguzi ufanyike ambapo mtawala yule alishinda kwa asilimia zaidi ya 80% sasa sijui yeye hakuwa amekaa kwenye mioyo ya watu kama jiwe Sent using Jamii...
  9. I

    Serikali ya awamu ya tano na mfano wa Mtihani wa NECTA

    Brother thanks u made my day inajitungia maswali na bado inayakosa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

    Leo pia ametamani Ubunge wa Nasar huko Arumeru
  11. I

    Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

    Brother wenye mawazo , fikra,na matumaini kama wewe duniani wali-fail rasmi toka 1989 ukomunist ulivyosambaratika bado serikali inapata pesa kwenye kodi .
  12. I

    Kukengeuka kwa baadhi ya wanasiasa nchini

    AWAMU YA TANO NA WAPAMBE WAKE KWELI MUMEDHAMIRIA YAANI NI WATU WATIMILIFU KWA KILA JAMBO. MNATAKA SIFA TUU LEO MTASEMA UJENZI WA FLYOVER NI PESA ZA NDANI SIKU YA UZINDUZI NI MKOPO KUTOKA JAPAN KAMA MNAPENDA KUSIFIWA MKUBALI NA KUKOSOLEWA PIA wachumia tumbo ndo nyie wapiga vigelegele hata...
  13. I

    Kukengeuka kwa baadhi ya wanasiasa nchini

    Si mlisema sisi ni donor country mumeanza na nyie tena kulilia misaada transformation ya miaka mitatu haijatosha kujaza chungu NAAMINI HAMNA DHAMIRA YA MAENDELEO NIA YENU NI VISASI NA MAUJI NI WATU GANI MNATAKA SIFA TUU shame on u
  14. I

    Mtanzania Joyce Msuya ateuliwa kuwa Kaimu Kiongozi wa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira, UNEP

    Wakenya watakubali kufanya kazi nchini kwao maana DADA WA VODACOM ALIKATALIWA KWETU
Back
Top Bottom