Search results

  1. RAU

    Namba za magari na ushawishi wa kisiasa

    Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi. Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama vya kisiasa? Je ziruhusiwe kutumika au zinaweza kuondolewa kwenye mtiririko wa namba rasmi nchini...
  2. RAU

    Uchaguzi igunga

    Niwakati muafaka kufanyika uchunguzi wa kina kupata sababu muafaka iliyosababisha wananchi kuto piga kura. Natumaini kwa wafuatiliaji wa uchaguzi kuna mambo mengi yaliyotokea, Sababu anazozitoa katibu mwenezi wa CCM zimekuwa ni za kisiasa sana. Haziwezi kuisaidia jamii ya Watanzania...
  3. RAU

    Ujenzi majengo yote mapya wachina inakuwaje

    Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania wanatafuta kazi hawapati, kodi za watanzania zinasomesha wahandisi ambao nchi yao yeyewe inawanyima ajira...
  4. RAU

    A day note

    The best way to escape from a problem is to solve it.
Back
Top Bottom