Search results

  1. loliondokwetu

    Wapi nitapata Tamthilia ya Zahanati ya Kijiji?

    Jamanieee, nitapata wapi hii tamthilia? Naona hata azam wenyewe hawajaweka namna ya kuipata hata kwa kulipia. Je, kuna anaejua au alienayo aniuzie?
  2. loliondokwetu

    Nautafuta sana huu wimbo.

    Mambo vipi wakuu, kwa wale wapenzi wa nyimbo za injili ambao ni wasikilizaji sana wa upendo radio kuna wimbo flani huwa wanaupiga mara kadhaa unaanza na ASUBUI KUMEPAMBAZUKA nadhan umeimbwa na kwaya flan ya kkkt, anaeweza, naomba nisaidiwe niupate.
  3. loliondokwetu

    Niuzie kisimbuzi cha Azam kwa bei ya Januari

    Kama heading inavyosomeka, nahitaji kisimbuzi cha azam cha dishi, sio lazima kiwe complete na dishi kwani naweza nikaunga kwa kutumia dishi lolote nililo nalo. Zingatia: Kisiwe yale matolea ya zamani.
  4. loliondokwetu

    Lissu, Mbowe, Mnyika, Lema etc, acheni kuwatetea wajinga

    Ndio, ni ukweli uliowazi kabisa kuwa asilimia kubwa ya wa TZ ni wajinga. Nyie ni watu musio na shukran, wakati wenzenu wanapambana kuwatete mpk kufikia kuumizwa vibaya na kutaka kuuawa, wengine wakiishia kwenye magereza kwaajili ya kuwapigania nyie, shukran yake ni kuwatukana, kuwadhiaki, na...
  5. loliondokwetu

    Viwanja vinapatikana kiluvya

    Habari, viwanja kiluvya makurunge bado vipo, karibuni mujionee na kuweza kujipatia chako, vipo vya location tofauti tofauti. Location - Kiluvya kwa muhindi- bei ni milion tatu. Kiluvya majumba sita- bei milion tatu Kiluvya kwa omary - milion tatu na nusu Kiluvya makurunge (shule) - milion tatu...
  6. loliondokwetu

    Freezer ndogo ya biashara lita kuanzia 200 inahitajika

    Niuzie freezer ndogo ya biashara, iwe haijatumika sana, ukiwa na risiti ya manunuzi itapendeza zaidi. Bei isiwe zaidi ya laki mbili na nusu. 0752399070
Back
Top Bottom