Search results

  1. S

    Be Forward Tanzania huyu mtu wenu wa mapokezi atawafukuzia wateja

    tumuanzishie vita vya mtandaoni hata kama ni chakla ya boss atatoka tu,kusanya ushahidi hata wa picha nitakusaidia kumdhibiti kupitia fb,twitter,whatsapp,instagram,skyper n.k
  2. S

    Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    kwa kifupi kwa kuwa wewe inaonekana una IQ kubwa kajaribu kwenda kupewa iyo md pale imtu, kcmc n.k nitakulipia ada na accomodation tena na stationary ili next time ukija hapa uwe na ushahidi kuwa umeiokota. na kama mkeo kapigwa PV alipokuwa anafanyiwa PVE na wewe ukapigwa PR ulipokuwa...
  3. S

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    chama,waarabu walikuja kufanya biashara ya kuuza binadamu na walipokuwa wanaumwa walikuwa wanafungwa porini na kuachwa wafe. wamisionari walikuja wakaiba madini na kujenga mashule na mahospitari ili watu wasome na watibiwe,tena wasiotaka shule walikuwa wanapelekwa kwa bakora,mpaka uhuru mashure...
  4. S

    Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

    porojo
  5. S

    Naombeni mnisaidie kupata jina la filamu hii!!

    Kikwete-jasusi muuaji wa ccm
  6. S

    Hivi Nape ni Mkuu wa Wilaya gani na ina hali gani sasa ?

    Nape Nnauye bado ni mkuu wa wilaya (DC) na anatarajia kukabidhi ofisi siku chache zijazo ili aweze fanya kazi za ccm vizuri. source: N. Nnauye on TBC interview. :yell:
  7. S

    Gari lako hatarini: uchakachuaji mpya wa mafuta umeingia

    Mleta nyuz utakuwa unatumiwa na cdm. Tz hauruhusiwi kufichua maovu except for cdm leaders!
  8. S

    CHADEMA kazi kwenu; kauli hii ina nguvu ya kubadilisha vikongwe 10000000 wa CCM!

    It sounds but hujajipanga kuleta hoja mkuu.
  9. S

    Ongezeko la Nauli gafla..!

    Mbona poa tu,hatuna serikali hata wewe ukiwa na biashara yako pandisha bei.
  10. S

    Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

    Kibonde=kilaza=ccm=clouds fm=golira=deadstone
  11. S

    waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba

    Madaktari wote wanamiandiko mibaya bata kasingiziwa,mbona mkitibiwa mnapona?
  12. S

    Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Kweli chaguzi ndogo ni gharama kwa nchi masikini kama tz. My take: Mbunge au diwani akifa au akifukuzwa uanachama basi jimbo liendeshe na mkurugenzi wa halmashauri na kata iongozwe na afisa mtendaji. Suala la kurithishana jimbo na kata,mtatiro fikra zake zimefikia ukomo na anaelekea kuwa...
  13. S

    Tujikumbushe Kauli tata katika kampeni

    Nani katiwa mimba vileee....?
  14. S

    Matokeo ya chaguzi za udiwani

    Dar napo hasa uswazi tmk vilaza bado wengi kama dom tu. Huu si wakati wa ku vote ccm
  15. S

    Rainfred Masako na Yahya wa Star tv

    Kwa jinsi ITV ilivyokuwa inaripoti taarifa za kampeni,masako alijitahidi sana kuwa neutral ingawa yeye na bos wake ni ccm damu.
  16. S

    VITUKO vya vyombo vya habari, wagombea na punde na kabla ya kusomwa matokeo na utabiri wangu.

    Aibu yake mkapa na mawaziri wa serikali ya kikwete. Bora nape aliyeota hili mapema.
  17. S

    ccm ccm ccm ccm

    Yametimia! Bado kwa kafulia wa kigoma na hasidi wa zenji.
  18. S

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    NEC-CCM ndo waamuzi jamani,embu tupeane ya kata ili kama ikiwa kama vituoni wengine tulale kwa amani.
  19. S

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Cha msingi hapa ni nchi yote kuandamana kushinikiza baraza la mawaziri livunje na wabovu wote wasirudi barazani. Kumuondoa Nkya na Mponda pekee kwa shinikizo la madaktari si sawa,wakati wapo wabovu kushinda wao. Kama vipi JK naye ashinikizwe apigwe chini.
Back
Top Bottom