Search results

  1. D

    Feedback ya kumtafuta mchumba

    Mamboz, Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni hajatulia hivi, au tu wabaya hata hatutongozwi, lakini huo mtazamo sio sahihi. Tunajitambua, ni vile tu...
  2. D

    Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Habari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito wangu ni kg60 Vigezo vya ninayemuhitaji: > Awe mkristo > Elimu yake akinizidi mimi hapo itakuwa...
  3. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Habari zenu, naishi kusini mwa Tanzania, natafuta mpenzi ambaye baadae MUNGU ikimpendeza anaweza kuwa mume wangu. Nina uhitaji sana sana soma wasifu wako na wangu ukiona unaendana karibu. WASIFU WANGU Nina umri wa miaka 26. Elimu yangu ni diploma Sina mtoto. Rangi maji ya kunde. Ni mrefu sio...
  4. D

    Biashara gani naweza kufanya nikiwa mkoa mwingine?

    Habari zenu? Poleni kwa majukumu ya siku nzima Nakuja kwenu kuomba ushauri. Nahitaji kufanya biashara kwenye huu mji ninaoishi lakini October naenda kusoma mkoa mwingine na mimi bado sijakomaa ki vile katika biashara. Hivyo ninaomba mnishauri ni biashara gani naweza kuifanya kwa kipindi chote...
  5. D

    Bei ya mashine za juice

    Habarini zenu wapendwa, Naomba kuuliza bei ya hizi mashine za juice ziko bei gani Na mzuri ni aina gani?
Back
Top Bottom